Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
anapata mihemko. mwanamke akawa anahofia kuwa jamaa itafika siku atamlawitiAkisha nusa inakuaje hapo.............??????????
kuna bwana mmoja alikuwa akimlazimisha mkewe kujamba kisha anamnusa makalioni. hii kali
ulijuaje?
Tehhh! tehhhh..Mi na wife wangu tumeshazoeshana mtu akitaka kujamba anaachia tu mzinga wake bila shaka wala mikwaruzo then tunaishia kuchekana mpaka hali ya hewa itakapotulia...Ila hali ikiwa mbaya mhanga wa hilo shuzi analazimika mwenyewe kwenda kutafuta fresh air nje maana kuna wakati kama ulikula mseto mbaya mtu hawezi kuvumilia...Ya nini kutoka nje, kuna wakati mwingine ni vigumu kujizuia ni kuachia tu!
Tehhh! tehhhh..Mi na wife wangu tumeshazoeshana mtu akitaka kujamba anaachia tu mzinga wake bila shaka wala mikwaruzo then tunaishia kuchekana mpaka hali ya hewa itakapotulia...Ila hali ikiwa mbaya mhanga wa hilo shuzi analazimika mwenyewe kwenda kutafuta fresh air nje maana kuna wakati kama ulikula mseto mbaya mtu hawezi kuvumilia...
duh huyo jamaa ni firauni lol... ila kila mtu ana kitu chake roho inapenda wengine wakisikia harufu ya ushuzi roho kwatuuukuna bwana mmoja alikuwa akimlazimisha mkewe kujamba kisha anamnusa makalioni. hii kali
Nakumbuka shule kuna jamaa walikuwa wanajamba kwa mashindano mle bwenini, kwa hiyo na wewe ukijisikia kuachia unaachia halafu na wengine wanajikamua hadi wanajamba, watu wanashangilia vibaaya sana
hao jamaa watakuwa walikuwa machoko si bureNakumbuka shule kuna jamaa walikuwa wanajamba kwa mashindano mle bwenini, kwa hiyo na wewe ukijisikia kuachia unaachia halafu na wengine wanajikamua hadi wanajamba, watu wanashangilia vibaaya sana
Mara nyingi kiafrika wanandoa hulala pamoja! Nina swali! Iwapo mmoja wenu ana haja ya kutoa hewa chafu (kujamba) wakati wa usiku ni lazima atoke out of room akimaliza arudi kuuchapa usingizi au shughuli inamaliziwa hapo hapo! Na je hii inaathari yeyote kwa uliye naye kitandani kwa muda huo....
Naomba wenye uzoefu mnijuze