Pakua/download McAfee uninstaller program kutoka katika website hii:
http://download.mcafee.com/products/licensed/cust_support_patches/MCPR.exe
I-copy na kui-paste hiyo website ktk address bar ya browser unayotumia. Ikisha-download-ika, i-scan kwa kutumia antivirus uitumiayo katika computer yako. Ikaimaliza ku-scan, i-double click, kisha subiri McAfee iondolewe (waweza kufanya shughuli zingine). Baada ya McAfee kuondolewa, itatokea dialoge box ikikutaka u-reboot computer yako. Save au funga kazi ulokuwa ukizifanya kisha reboot/restart computer kukamilisha uondolewaji wa McAfee antivirus.
Naona unataka kutumia Kaspersky antivirus, je, computer yako ina RAM ya kutosha????? Maana Kaspersky 2011 inahitaji kiasi kikubwa cha RAM (tembelea wavuti hii:
Kaspersky Anti-Virus 2011 kujua mahitaji ya KAV 2011).
KWA FAIDA ZAIDI
Wavuti zifuatazo zitakuwezesha kutoa baadhi ya antivirus za kawaida ktk computer yako. Utaratibu ni ule ka unavyofanya katika kuondo McAfee.
Avast:
http://files.avast.com/files/eng/aswclear.exe
Avira:
Avira Solutions - Knowledge Base Problem Details
AVG:
AVG Worldwide - Download tools
BitDefender:
How to uninstall BitDefender
CA:
Knowledge Document - Unicenter ServicePlus Knowledge Tools
CounterSpy:
Sunbelt Software Support - Sunbelt Software Support
F-Secure:
View Support Knowledge Base Article
Kaspersky:
Removal tool for Kaspersky Lab products | Kaspersky Lab United States
Panda:
http://www.pandasecurity.com/resources/sop/UNINSTALLER_08.exe
Symantec (Norton):
ftp://ftp.symantec.com/public/english_us_canada/removal_tools/Norton_Removal_Tool.exe
Trend Micro:
How to uninstall my Trend Micro program using the Trend Micro Diagnostic Toolkit
Webroot:
How do I uninstall and reinstall my program?
Windows Live OneCare:
http://download.microsoft.com/download/4/c/b/4cb845e7-1076-437b-852a-7842a8ab13c8/OneCareCleanUp.exe
ZIADA ZAIDI
Tumia REVO UNINSTALLER software kufanya uninstallation ya program yoyote kutoka katika computer yako. Usitumie njia ya kawaida ya ku-ADD OR REMOVE program. Baadhi ya program inakuwa ngumu kuziondoa kwa njia hii ya ku-add or remove, ila kwa kutumia REVO UNINSTALLER hakuna program itakayogoma kutoka.
Revo uninstaller inapatikana katika link hii:
Revo Uninstaller Pro - Downloads.
Pia kuna Revo uninstaller ya kubebeka (revo uninstaller portable), nayo inapatika kupitia link hii hapa:
Portable Revo Uninstaller Download - Softpedia
ZIADA JUU YA ZIADA
Wakati mwengine bidhaa kutoka nero huwa zinakataa kutoka na hivyo kuleta matatizo katika computer yako likiwemo tatizo la kushindwa kusoma CD/DVD.
Bidhaa kutoka NERO huwa zinaondolewa kwa kutumia
NERO GENERAL CLEANING TOOL, inapatikana kupitia link hii hapa:
Nero - Tools & Utilities
Natumaini somo limeeleweka.
:welcome: , kinyume chake pia ni sahihi