Mimi naomba kuuliza wakati nikiwa kwenye tendo zima la kujamiiana nashangaa kuona maji mengi kiasi kwamba naweza hata kuyakamua baada ya tendo kila ninapojaribu kumwweleza mwenzangu ni kitu gani ananiambia hajui.naomba ushauri ni ugonjwa aunikitugani pia yananinyima raha yalile tendo.
Hahaaaa!! Hiyo ndo inayoitwa orgasm at the highest level. Wewe ni mmoja ya wadada wachache wenye hiyo phenomenon ya multi orgasmic spasms? (Actually takwimu zaoneyesha watu wa aina yako mko 1 kati ya watu laki moja kiasi kwamba wanawake wengi hubisha kuwa hiyo hali haipo). Usisikitike. Umebarikiwa!! Yupo mdada mmoja nitamwomba akuPM maana naye ana hali kama yako na anaifurahia kupita kawaida.
Unatumia njia za uzazi wa mpango?? Ni mojawapo ya sad effect za njia za uzazi wa mpango.
Hahahahahahahahaha!!!!!!mi bado mtoto..ngoja nifumbe macho
Vidonge vya uzazi wa mpango vinachangia na kula mchele mbichi kwa wale wenye tabia ya kutafuna mchele wengi wanapatwa na tatizo hili