Kutoa maji mengi wakati wa kujamiiana

Kutoa maji mengi wakati wa kujamiiana

kipili

Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
29
Reaction score
6
Mimi naomba kuuliza wakati nikiwa kwenye tendo zima la kujamiiana nashangaa kuona maji mengi kiasi kwamba naweza hata kuyakamua baada ya tendo kila ninapojaribu kumwweleza mwenzangu ni kitu gani ananiambia hajui.naomba ushauri ni ugonjwa aunikitugani pia yananinyima raha yalile tendo.
 
:shock: vuta subira wataalam watakupa majibu kama sio majawabu, ila pia huwa nasikia kuwa kule mkoani Kagera kuna Kijiji kinaitwa Katerelo ndo chimbuko la majiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hayo maji yakiwa yanatoka husikii raha fulani? Jibu hii kwanza mpendwa halafu tutaendelea
 
Du basi jamaa yako anakupiga mbupu fresh maana mpaka maji yatoke mengi basi anakusugua vizuri.
 
Hahaaaa!! Hiyo ndo inayoitwa orgasm at the highest level. Wewe ni mmoja ya wadada wachache wenye hiyo phenomenon ya multi orgasmic spasms? (Actually takwimu zaoneyesha watu wa aina yako mko 1 kati ya watu laki moja kiasi kwamba wanawake wengi hubisha kuwa hiyo hali haipo). Usisikitike. Umebarikiwa!! Yupo mdada mmoja nitamwomba akuPM maana naye ana hali kama yako na anaifurahia kupita kawaida.
 
Mimi naomba kuuliza wakati nikiwa kwenye tendo zima la kujamiiana nashangaa kuona maji mengi kiasi kwamba naweza hata kuyakamua baada ya tendo kila ninapojaribu kumwweleza mwenzangu ni kitu gani ananiambia hajui.naomba ushauri ni ugonjwa aunikitugani pia yananinyima raha yalile tendo.

Dada umebarikiwa na tunu wanayoikosa wengi"
 
mi bado mtoto..ngoja nifumbe macho
 
Sasa hapo tatizo ni nini? Labda jamaa anakufanya ufikirie vibaya ndio maana inakuharibia mashamsham.
We dada uwe unatembea na chupi extra kwenye begi, "cause you got some bomb ass pusy!!"
 
Nakubaliana na wewe kabisa,wanawake wa aina hiyo tanzania wapo Bukoba kwa wingi sana na hata imekuwa kama kivutio kwa watu wanapoambiwa kuwa kuna wanawake wanarusha maji basi watu huenda kujaribu.Niburudani sana hasa kwa wanaume wanaojua mapenzi kwani unakuwa na uhakika kuwa mwenzako karidhika.
Pia nchini Uganda wanapatikana kwenye kabila moja linaitwa BANYANKOLE.
Tafiti ndigo niliyofanya ni kuwa pia chakula kinachangia -wanakula ndizi maarufu kama matoke.
Hahaaaa!! Hiyo ndo inayoitwa orgasm at the highest level. Wewe ni mmoja ya wadada wachache wenye hiyo phenomenon ya multi orgasmic spasms? (Actually takwimu zaoneyesha watu wa aina yako mko 1 kati ya watu laki moja kiasi kwamba wanawake wengi hubisha kuwa hiyo hali haipo). Usisikitike. Umebarikiwa!! Yupo mdada mmoja nitamwomba akuPM maana naye ana hali kama yako na anaifurahia kupita kawaida.
 
ukiona hivyo umekunwa/na pale penyewe na kufika/kufikishwa haswa!
 
Nadhani wengi wa waliojibu hawajamuelewa huyu dada na kumpa ushauri sahihi.
Kama sijakosea huyu dada anamanisha kuwa katika kufanya mapenzi anatokwa na maji mengi ambayo yanamuudhi.
Ni kweli wanaume wengi hawapendi wanawake wanaotoa maji kwa sababu;
1.0 Maji hayo yanakuwa mengi na kupunguza joto la ukeni na kupunguza msuguano hivyo kufanya mwanaume kuchelewa kufika kileleni. Maji hayo mara nyingi yanakuwa ni mepesi zaidi ya ute unatoka ukeni kabla ya mwanamke kuingiliwa akiwa tayari amenyegeka.
2.0 Shida nyingine ni kuwa mwanamke wa namna hii huitaji usafi wa hali ya juu, kwa maana kabla ya mwanaume kufika kileleni anaweza kulazimika kufuta uke wake zaidi ya mara tatu ili kukausha. Hali hii inaweza kumbore mwanaume maana kuna kuna kipindi mwanaume anahitaji kuchochea ili safari ifike.
Mengine mtamalizia wazee lakini kwa uchache ndiyo hivyo.
 
Sijaelewa hata moja nimeishia ku-imagine tu ngoja nikae kando nisikilize ushauri wenu ila naona mnatisha, mko vizuri kwenye hii fani! Hongereni sana na pole kwa mwenye (sijui tuite tatizo au baraka) haya na wewe pole pia!!!
 
Nimetoka tu kufahamishwa hivi majuzi kuwa, ulaji uliopindukia wa mboga aina ya kabichi nao waweza kumsababishia mwanamke hali hii.
 
Unatumia njia za uzazi wa mpango?? Ni mojawapo ya side effect za njia za uzazi wa mpango.
 
Unatumia njia za uzazi wa mpango?? Ni mojawapo ya sad effect za njia za uzazi wa mpango.

I think you meant SIDE EFFECTS au MADHARA haya yawezakua kweli pia kama yule dume jike aliyefanyiwa injection ya CEMENT NA SUPERGLUE kwene makalio yake....!Dunia hii vituko haviishi
 
Ni maumbile tu dada, jaribu kuishi nayo na kutafuta njia za kuboresha tendo. Watu wazima watakushauri.
Anayekupenda, kama ana akili timamu, atakuelewa na kukusaidia. No body is perfect
 
Vidonge vya uzazi wa mpango vinachangia na kula mchele mbichi kwa wale wenye tabia ya kutafuna mchele wengi wanapatwa na tatizo hili
 
Vidonge vya uzazi wa mpango vinachangia na kula mchele mbichi kwa wale wenye tabia ya kutafuna mchele wengi wanapatwa na tatizo hili

Mkuu hebu fafanua vizuri hapo kwenye rangi nyekundu ni kwa namna gani inachangia maana nina rafiki yangu ambaye humaliza nusu/robotatu kilo kwa siku anatafuna tu! :A S-coffee:

Back
Top Bottom