Kutoa Makovu mwilini

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
3,062
Reaction score
1,294
Hellow,habari?
Well, mi ningependa kujua dawa/namna,either kiasili or not,ya jinsi ya kutoa makovu ya kuungua moto,au makovu ya vidonda,kwa mtoto,na pia mtu mzima!
Shukria,
 
Sasa mbona umekuja na mkwala mzito hivi? Lol! Mteja mkali na hichi cheti cha kihiyo,mweh!
Makovu inategemea na yalivyo lakini google skin grafting utapata mwanga.
 
Sasa mbona umekuja na mkwala mzito hivi? Lol! Mteja mkali na hichi cheti cha kihiyo,mweh!
Makovu inategemea na yalivyo lakini google skin grafting utapata mwanga.

king'asti dear,humu kuna vijana waropokaji,waliotoroka fb,.wenye mastress kibao..na yakufeli pia..
Basi tafrani...thanx anyway,nitacheki
 
Hellow,habari?
Well, mi ningependa kujua dawa/namna,either kiasili or not,ya jinsi ya kutoa makovu ya kuungua moto,au makovu ya vidonda,kwa mtoto,na pia mtu mzima!
Shukria,

See a specialist at MNH.
 
Usiwajali vijana, waache wafanye ya ujana si unajua maji ya moto hayo na kuni za kupashia nazo mfumuko wa bei umeathiri. Ndo wakati wao.
Haya, all the best na darsa hili
king'asti dear,humu kuna vijana waropokaji,waliotoroka fb,.wenye mastress kibao..na yakufeli pia..
Basi tafrani...thanx anyway,nitacheki
 
Da naic pia majibu ya hapa yatansaidia pia,naitaji sana hyo dawa.
 
Nenda hospitali ya CCBRT Msasani, hasa kwa watoto waliungua kwa moto.
 
Hellow,habari?
Well, mi ningependa kujua dawa/namna,either kiasili or not,ya jinsi ya kutoa makovu ya kuungua moto,au makovu ya vidonda,kwa mtoto,na pia mtu mzima!
Shukria,

Dawa yake ni kulala na mganga aliyekuchanja
 
Na kwa taarifa yako,tunalindwa kwa damu ya Yesu! No wonder mwana mtoka pabaya!
Ndo mawazo yako...coz of wat ur generation do to others!
mfyuuuuuu
 
Kuna mtu humu alitamka,growing old is a mandatory,..but growing up is an option!

Ficha upumbavu wako,onesha busara zako!

Kimtokacho mtu,ndicho kilichoujaza moyo wake!

Na mwisho, kichaa akiiba nguo zako,ukamkimbiza ukiwa mtupu,wewe ndo utaonekana mwehu!

Stressed n frustrated looserz,r so many in Jf!.. N mostly ndo wanaoshusha hadhi ya Jf! Bt keeping ignoring them,z wat they deserve!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…