Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona umekuja na mkwala mzito hivi? Lol! Mteja mkali na hichi cheti cha kihiyo,mweh!
Makovu inategemea na yalivyo lakini google skin grafting utapata mwanga.
Hellow,habari?
Well, mi ningependa kujua dawa/namna,either kiasili or not,ya jinsi ya kutoa makovu ya kuungua moto,au makovu ya vidonda,kwa mtoto,na pia mtu mzima!
Shukria,
king'asti dear,humu kuna vijana waropokaji,waliotoroka fb,.wenye mastress kibao..na yakufeli pia..
Basi tafrani...thanx anyway,nitacheki
Hellow,habari?
Well, mi ningependa kujua dawa/namna,either kiasili or not,ya jinsi ya kutoa makovu ya kuungua moto,au makovu ya vidonda,kwa mtoto,na pia mtu mzima!
Shukria,
hahahaha!Sasa mbona umekuja na mkwala mzito hivi? Lol! Mteja mkali.
Mbona unaanza na ukali mapema...si unyooshe tu maongezi kuliko kuvunga mara mtoto, mara moto.
Jamani eeeh! Sista duu anauliza namna ya kuondoa michanjo aliyopigwa kifuani na waganga wa kienyeji. Anayo kiunoni, kifuani na mikononi. Kutwa kucha kwa waganga kisa wanaume ambao wamejaa tele...pole sana!