kinole1984
Member
- Aug 4, 2017
- 65
- 50
Wanajamii naomba mnisaidie sababu nne au zaidi .
Kuna mwanamke tumepanga tuoane.
Sasa kabla hatujaanza michakato akapata mimba
Akaamua kutoa, kwani alinambia ingekuwa haibu kwao.
Sasa baada ya kumuoa ,kila tukitega siku ya hatari ya kupata mimba,inakuwa issue yani hapati.
Nahitaji sababu please.