jeipm
JF-Expert Member
- Sep 28, 2018
- 500
- 825
Siku ile ya kwanza ulipomjua huyo mwanamke wako jua kuwa siku hiyo Mungu aliwafungisha ndoa(ndoa ya kimungu) huwa hivyo,
kwa kudhihirisha kuwa Mungu ni wa upendo akamjalia mkeo akapata ujauzito(mibaraka)
Cha ajabu fikra zenu zikawaza ya dunia na kujiona nyie sio mke na Mme halali, mkakimbilia ndoa za kidunia tena ambazo hufungishwa na MTU kama wewe.
Ndoa ya Mungu mkaivunja na mtoto aliyewajalia mkamtupa chooni,
Kisa tu kuwaridhisha binadamu wenzenu na kumtia Mungu AIBU
Usikute labda siku hiyo padri au mchungaji au shekh aliyekufungisha ndoa alitoka kuzini na mke wa mtu au alitoka kulawiti mtoto.
Inashangaza......na .....inasikitisha