Kutoa mimba kunaweza kusababisha mwanamke ashindwe kupata mimba nyingine?

Siku ile ya kwanza ulipomjua huyo mwanamke wako jua kuwa siku hiyo Mungu aliwafungisha ndoa(ndoa ya kimungu) huwa hivyo,
kwa kudhihirisha kuwa Mungu ni wa upendo akamjalia mkeo akapata ujauzito(mibaraka)

Cha ajabu fikra zenu zikawaza ya dunia na kujiona nyie sio mke na Mme halali, mkakimbilia ndoa za kidunia tena ambazo hufungishwa na MTU kama wewe.
Ndoa ya Mungu mkaivunja na mtoto aliyewajalia mkamtupa chooni,
Kisa tu kuwaridhisha binadamu wenzenu na kumtia Mungu AIBU

Usikute labda siku hiyo padri au mchungaji au shekh aliyekufungisha ndoa alitoka kuzini na mke wa mtu au alitoka kulawiti mtoto.

Inashangaza......na .....inasikitisha
 
Umeongea mambo mazito sana.
Watanzania wengi tuko hivyo.
Hongera kwa ujumbe mzuri.
 
Pumbaf*u sana hata msipopata mtoto halali yenu, si mliamua kujipangia muue yupi muache yupi.
 
Kwanza mna muda gani katika ndoa?

Hiyo mimba aliyoitoa una uhakika gani kama ilikuwa ya kwako? si ajabu haikuwa ya kwako ndio maana akaitoa ili asikukose.

Wewe ulishawahi kwenda kucheck kizazi?

Ukijiuliza hayo unaweza kupata jibu.

Ila kama umepima na ukakuta uko vizuri na kwenye ndoa mko muda mrefu , pengine mimba aliyotoa ndio ilikuwa amebarikiwa hiyo hiyo.

Onyo: Vijana msijaribu kuoa mwanamke ambae amekwambia alitoa mimba .
 
Back
Top Bottom