kinole1984
Member
- Aug 4, 2017
- 65
- 50
Tuna miezi 3 sasamna muda gani kwa ndoa?
Ahsante kwa ushauriAisee Mtateseka sanaa...Tena bora angetaka kuzaa na mwingne kidogo hiyo dhambi isingewatafuna sana..! Poleni sana Kamuangalie uzazi wake kama yupo vizuri bado...
Tulia kijana bado muda mfupi sana... punguza preshaTuna miezi 3 sasa
Mmmh kumbe miezi mkuu...! tegesheni vizurii bhanaaTuna miezi 3 sasa
Ok sawasawaMmmh kumbe miezi mkuu...! tegesheni vizurii bhanaa
Mbona bado unapata presha mapemaTuna miezi 3 sasa
Tuna miezi 3 sasa
Hiyo dhambi itawatafuna sana. Yaani mlikatisha maisha ya kiumbe kisichokuwa na hatia kisa kuona aibu. Yaani umuue mwenzio kwa sababu ya aibu? Hiyo sababu mbona hailingani na uzito wa jambo alilolifanya mkeo. Hivi mkikosa mtoto maisha yenu yote mtamlaumu kweli Mungu?
mimba pia imeona "haibu "kujinasisha
Hiyo mimba itakuwa ilikuwa ya mwanaume mwingine ndio maana aliitoa kuogopa aibu,wewe ndio utakuwa na shida ya uzazi nenda kamuone daktari mapema.