life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,035
Pole yake na Salaama yako!! Tukio Hilo ni Kama kumtoa Mgonjwa wodini na kumpeleka Mochwari !!(baridiii)Hivi ukikutana na Mtanzania Moputo, Msumbiji. Anakusimulia mkasa wake kuwa hana kazi, hana hela, anadaiwa kodi ya nyumba na ameamua kurudi nyumbani. Yeye ni Mwenyeji wa Kigoma.
Wewe unaendesha gari. Unaamua kumpa lift. Mnafika Mtwara unamwambia ashuke, msaada wako umemfikisha Tanzania umemaliza.
Utakuwa umemsaidia au unemuobgezea matatizo?
nilikua porini huko kuandaa shamba mzee, habari ya siku!!!We jamaa ulidedia wapi na nani kakufufua?
Kama ulikuwa mwisho wa safari yake?
Na kama haukuwa mwisho wa safari yake??
Kuna kimojawapo hapo kinaweza kisiwe msaada?
Ngoja niendelee kubangua korosho kwa meno mie
Ofcourse Sky Eclat hawezi kutoa inter country lift kwa ke. Aingie risks zote with no reward? Should be me......hahahahahahHebu kwanza... huyo uliyempa lifti ni Ke/Me?