Kutoa msaada

Kutoa msaada

Hivi ukikutana na Mtanzania Moputo, Msumbiji. Anakusimulia mkasa wake kuwa hana kazi, hana hela, anadaiwa kodi ya nyumba na ameamua kurudi nyumbani. Yeye ni Mwenyeji wa Kigoma.

Wewe unaendesha gari. Unaamua kumpa lift. Mnafika Mtwara unamwambia ashuke, msaada wako umemfikisha Tanzania umemaliza.

Utakuwa umemsaidia au unemuobgezea matatizo?
Pole yake na Salaama yako!! Tukio Hilo ni Kama kumtoa Mgonjwa wodini na kumpeleka Mochwari !!(baridiii)
 
We jamaa ulidedia wapi na nani kakufufua?

Kama ulikuwa mwisho wa safari yake?

Na kama haukuwa mwisho wa safari yake??

Kuna kimojawapo hapo kinaweza kisiwe msaada?

Ngoja niendelee kubangua korosho kwa meno mie
nilikua porini huko kuandaa shamba mzee, habari ya siku!!!

..kama ulikua mwisho wa safari yake Sky Eclat basi alimsaidia, na kama haukiwa mwisho wa safari yake pia alimsaidia japo angeweza kumsaidia zaidi kama alikua anaelekea uelekeo mmoja.

Asprin hizo korosho unatafuta makwenzi kutoka kwa jiwe, si umesikia ameanza kuita wahindi waje kununua....wewe unabangua upeleke wapi?
 
Back
Top Bottom