Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu hakutakuwa na picha ya tukio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafungwa wanapiga kura? Kweli K ni KSugu ana angaika sana safari hii,hili jimbo washalichukua angesave tu pesa zakee
He is only performing his dutiesAnaweweseka,he is suffering from tulianism syndrome, and the medicine to cure him acksonism where by the dose will start from today and will have to end on October 25,2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unajiona bonge la msomi umeongea point. Shida sana kizazi cha papuchiAnaweweseka,he is suffering from tulianism syndrome, and the medicine to cure him acksonism where by the dose will start from today and will have to end on October 25,2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi utaharibu bajet za watu sana
Tangu lini wafungwa wanapiga kura Tanzania ?Sugu ana angaika sana safari hii,hili jimbo washalichukua angesave tu pesa zakee
Kutoa ni moyo tu mjomba , kwa jinsi ulivyoandika si rahisi kwa masikini wa nchi hii kubarikiwaU
Uchaguzi utaharibu bajet za watu sana
Tulia amuweweshe Sugu ! bila shaka utakuwa umewehukaAnaweweseka,he is suffering from tulianism syndrome, and the medicine to cure him acksonism where by the dose will start from today and will have to end on October 25,2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Sugu ana angaika sana safari hii,hili jimbo washalichukua angesave tu pesa zakee
Kutoa ni moyo tu mjomba , kwa jinsi ulivyoandika si rahisi kwa masikini wa nchi hii kubarikiwa
Safii ndio kipindi chao wanasiasa wanapokuwa bize hata kufagilia makaburi unafki mtupu!
Mkuu wa gereza hana kazi kesho. Let us wait and see!
Atakuoa ukizubaa,maana huachi kumsema.Sugu ana angaika sana safari hii,hili jimbo washalichukua angesave tu pesa zakee