Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Jimbo la Lukuvi!
Akipongezwa na wananchi tu inatosha , hao wapita njia waliofuata madaraka Iringa iko siku watarudi kwao .Kutoa ni moyo kwa kweli.
Nategemea Happi na Kasesela watampongeza!
Kutoa ni moyo kwa kweli.
Nategemea Happi na Kasesela watampongeza!
Msaada mkubwa sana wa Lukuvi kwa Ismani ni Ulanzi na viberiti vyenye picha yake