Kutoa ni moyo: Ole Sosopi amwaga misaada kwa Wahanga wa Mafuriko Ismani

View attachment 1419583

View attachment 1419584

View attachment 1419585

Wakuu poleni na janga la Corona , pamoja na taarifa nyingi sana kutoka kwenye vyombo vya habari ni kuhusu Corona , lakini nchini Tanzania kuna tatizo kubwa sana la mafuriko kwenye maeneo mengi , na hivyo kuleta shida kubwa sana kwa wananchi wa maeneo husika .

Kumekuwa na uharibifu wa makazi ya raia pamoja na ukosefu mkubwa wa chakula , baada ya nyumba na mazao mashambani kusombwa na mafuriko .

Wananchi hawa wanahitaji msaada wa hali na Mali , ndio maana Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Ole Sosopi ameamua kujitokeza hadharani na kugawana kidogo alichonacho na masikini wenzake .

# Tuendelee kunawa mikono ili kujikinga na virusi vya Corona .
kwa Nini umeandika kutoa Ni moyo??
 
View attachment 1419583

View attachment 1419584

View attachment 1419585

Wakuu poleni na janga la Corona , pamoja na taarifa nyingi sana kutoka kwenye vyombo vya habari ni kuhusu Corona , lakini nchini Tanzania kuna tatizo kubwa sana la mafuriko kwenye maeneo mengi , na hivyo kuleta shida kubwa sana kwa wananchi wa maeneo husika.

Kumekuwa na uharibifu wa makazi ya raia pamoja na ukosefu mkubwa wa chakula , baada ya nyumba na mazao mashambani kusombwa na mafuriko.

Wananchi hawa wanahitaji msaada wa hali na Mali , ndio maana Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Ole Sosopi ameamua kujitokeza hadharani na kugawana kidogo alichonacho na masikini wenzake.

#Tuendelee kunawa mikono ili kujikinga na virusi vya Corona .
Mwaka huu ka Ole Sosopi kanambwaga Lukuvi! Yeye ametoa msaada gani?
 
Hongera sana SOSOPI kwa msaada kwa wananchi hao.
 
Nilidhani kamwaga malori kumbe kapeleka kwa hilux pick up, hongera Rafiki
 
Ni Jambo zuri kutoa sadaka/msaada pale penye uhitaji ikiwa lengo Ni kusaidia,lakini Kama Ni kwaajili ya kujiimarisha kisiasa Nampa Pole!!
 
View attachment 1419583

View attachment 1419584

View attachment 1419585

Wakuu poleni na janga la Corona , pamoja na taarifa nyingi sana kutoka kwenye vyombo vya habari ni kuhusu Corona , lakini nchini Tanzania kuna tatizo kubwa sana la mafuriko kwenye maeneo mengi , na hivyo kuleta shida kubwa sana kwa wananchi wa maeneo husika.

Kumekuwa na uharibifu wa makazi ya raia pamoja na ukosefu mkubwa wa chakula , baada ya nyumba na mazao mashambani kusombwa na mafuriko.

Wananchi hawa wanahitaji msaada wa hali na Mali , ndio maana Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Ole Sosopi ameamua kujitokeza hadharani na kugawana kidogo alichonacho na masikini wenzake.

#Tuendelee kunawa mikono ili kujikinga na virusi vya Corona .
Ndio Maana LookV kapanic na kwend kugawa Dawa,hahaah
IMG-20200415-WA0079.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amefanya vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
Amefanya vyema na nami namshukuru kwa hicho alichowafanyia wana Isimani. Tatizo linakuja kwa baadhi ya wafuasi wa chama chake. Akifanya Dk. Tulia pale Mbeya Mjini wanalalamika kweli eti anafanya kampeni mapema. Kwani nani hajui Ole Sosopi ana nia ya kuwania Ubunge Isimani? Badala ya kulalamika, tunamshukuru, maana tunajua kuwa Ubunge hawezi kuupata mbele ya Kada Lukuvi!
 
Back
Top Bottom