Kutoa ni moyo: Ole Sosopi amwaga misaada kwa Wahanga wa Mafuriko Ismani

kwa Nini umeandika kutoa Ni moyo??
 
Dogo hawezi kumshinda Lukuvi Isimani
 
Mwaka huu ka Ole Sosopi kanambwaga Lukuvi! Yeye ametoa msaada gani?
 
Hongera sana SOSOPI kwa msaada kwa wananchi hao.
 
Nilidhani kamwaga malori kumbe kapeleka kwa hilux pick up, hongera Rafiki
 
Ni Jambo zuri kutoa sadaka/msaada pale penye uhitaji ikiwa lengo Ni kusaidia,lakini Kama Ni kwaajili ya kujiimarisha kisiasa Nampa Pole!!
 
Ndio Maana LookV kapanic na kwend kugawa Dawa,hahaah


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amefanya vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
Amefanya vyema na nami namshukuru kwa hicho alichowafanyia wana Isimani. Tatizo linakuja kwa baadhi ya wafuasi wa chama chake. Akifanya Dk. Tulia pale Mbeya Mjini wanalalamika kweli eti anafanya kampeni mapema. Kwani nani hajui Ole Sosopi ana nia ya kuwania Ubunge Isimani? Badala ya kulalamika, tunamshukuru, maana tunajua kuwa Ubunge hawezi kuupata mbele ya Kada Lukuvi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…