Kutoa Noah 2002 toka SA hadi TZ, Ushuru unaweza kuwa kiasi gani?

Kutoa Noah 2002 toka SA hadi TZ, Ushuru unaweza kuwa kiasi gani?

dostum

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
215
Reaction score
110
Habari. Nataka kuagizia Noah Na Kuna ndugu yangu Yuko afrika kusini kanambia anaweza hadi kufika Dar itagharimu 7mil. Kuna mtu anaweza kunishauri kuhusu ushuru wa hapa bongo
 
Ushuru utakuwa ni ule ule kama umeagiza Japan, kuna calculator excel sheet unaweza kuipata site ya TRA.
 
Back
Top Bottom