NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Nimevuta sigara toka mwaka 1979 mpaka sasa.Nimefikia nimepata tatizo japo halisababishwi na sigara ila Dr amenishauri ni bora niache kwa umri huu wa 52.
Wana JF naomba msaada nitumie nini kutoa sumu ya sigara mwilini.Je nile nini au nifanyeje?
Ahsante nawakilisha hoja.
Wana JF naomba msaada nitumie nini kutoa sumu ya sigara mwilini.Je nile nini au nifanyeje?
Ahsante nawakilisha hoja.