"WE ARE WATCHING YOU"hahaa Emma mwehu sana Yule mtoto ''. then itakuwa ana multiple ids humu "
HahahahaaHahaa kwaheri Aiseee
Hata mimi ule upuuzi wake umenifanya niamini kuna Undercover ambao huwa wanafuatilia watu humu, japo yule hana elimu yoyote kuhusu Mambo hayo."WE ARE WATCHING YOU"
Hii kauli ina maana kubwa sana...nmenukuu kwenye comment yke
Sent using Jamii Forums mobile app
@Mbao za mawe hakuna uzi nimetembelea sijamkuta,alafu ukimkuta lazima azingue.Naomba nikupe heshima.leo umetendea vema bando lako...tangu asubui hujakosa uzi hata mmoja...
Hahahaaha
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa kwani wewe ulikuwa haulijui hilo mkuu ""!! undercover wapo kibao humu especially kwenye jukwaa la siasa" ...ukiwa humu haupaswi kujisahau na kujirahisisha rahisisha kwa mtu kizembe " awe ni Me au ke "... itakula kwakoHata mimi ule upuuzi wake umenifanya niamini kuna Undercover ambao huwa wanafuatilia watu humu, japo yule hana elimu yoyote kuhusu Mambo hayo.
Kuna mwanamke mmoja alikuwa ananitaka sana nikamwambia sidindishi tangu kipindi hicho akakata mawasiliano nami.hahahaa kwani wewe ulikuwa haulijui hilo mkuu ""!! undercover wapo kibao humu especially kwenye jukwaa la siasa" ...ukiwa humu haupaswi kujisahau na kujirahisisha rahisisha kwa mtu kizembe " awe ni Me au ke "... itakula kwako
umeona eeh,yaani mods wapo shift lakin bwana Mbao mawe anasimamia ukucha tuuu full time@Mbao za mawe hakuna uzi nimetembelea sijamkuta,alafu ukimkuta lazima azingue.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa nipe namba yake " nimuombee tafadhali" huwaga na toa huduma ya kirohoKuna mwanamke mmoja alikuwa ananitaka sana nikamwambia sidindishi tangu kipindi hicho akakata mawasiliano nami.
Haha!usikute yeye mwenye ndo modumeona eeh,yaani mods wa shift lakin bwana Mbao mawe anasimamia ukucha tuuu full time
Sent using Jamii Forums mobile app
Haonekani humu siwezi kufikia hatua ya kutoa namba.hahahaa nipe namba yake " nimuombee tafadhali" huwaga na toa huduma ya kiroho
Halafu ndio ukute mtu ulikua unanza kula huku unaingia Jf, ghafla wakutana na hii kitu! π³Nimejuta kuiona post na 07. Ptuuuu.
Mkuu Mbao za Mawe kuna picha sio bana.
Zinapendeza kueleza kwa maandishi ili kila mmoja avute picha yake. [emoji23]
Yaani acha tu Sesten.Halafu ndio ukute mtu ulikua unanza kula huku unaingia Jf, ghafla wakutana na hii kitu! π³
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwanamke mmoja alikuwa ananitaka sana nikamwambia sidindishi tangu kipindi hicho akakata mawasiliano nami.