Kutoa uchafu kutoka puani

Kutoa uchafu kutoka puani

Hata mimi ule upuuzi wake umenifanya niamini kuna Undercover ambao huwa wanafuatilia watu humu, japo yule hana elimu yoyote kuhusu Mambo hayo.
hahahaa kwani wewe ulikuwa haulijui hilo mkuu ""!! undercover wapo kibao humu especially kwenye jukwaa la siasa" ...ukiwa humu haupaswi kujisahau na kujirahisisha rahisisha kwa mtu kizembe " awe ni Me au ke "... itakula kwako
 
Kuna mwanamke mmoja alikuwa ananitaka sana nikamwambia sidindishi tangu kipindi hicho akakata mawasiliano nami.
 
hahahaa nipe namba yake " nimuombee tafadhali" huwaga na toa huduma ya kiroho
 
Back
Top Bottom