Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale yaleeAu kwa nini ukinusa harufu mbaya utahangaisha macho kutafuta inapotokea halafu ndo unapatwa na kinyaa
hahhaaaSijawahi kupatwa na huo uchafu kwa kipindi cha miaka 27 sasa.
aaaahgh mamaee"...Benzema. View attachment 842386
Naomba nikupe heshima.leo umetendea vema bando lako...tangu asubui hujakosa uzi hata mmoja...Ule uchafu (Kamasi) ni akili kwahiyo akitoa na kuangalia huwa anatazama namna akili yake ilivyo chafu.
Zama hizi bado kuna wapuuzi wanachokonoa pua na vidole!!
Duh kuna nyuzi sijagusa mkuu.Naomba nikupe heshima.leo umetendea vema bando lako...tangu asubui hujakosa uzi hata mmoja...
Hahahaaha
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 Kumbe una kinyaa duh. Mimi hata nione ubongo wa mende nakula tu.Huu uzi utanitapisha " kwaherini Aisee ...ptuuuuu
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Huu uzi utanitapisha " kwaherini Aisee ...ptuuuuu
Zeshchriss na heary wanakusogela kwa siku ya leo kwa uchangaiji madaDuh kuna nyuzi sijagusa mkuu.
hivi kweli"''? kuna majukwaa sijafika bwanaZeshchriss na heary wanakusogela kwa siku ya leo kwa uchangaiji mada
Sent using Jamii Forums mobile app
daah mkuu mimi nina kinyaa mnooo hata ukitaja story za toilets tu nakosa raha😂 😂 😂 Kumbe una kinyaa duh. Mimi hata nione ubongo wa mende nakula tu.
@Miminimkulimaakachekasana uyu kashike nafasi ya nne.hivi kweli"''? kuna majukwaa sijafika bwana
@Miminimkulimaakachekasana uyu kashike nafasi ya nne.
Uyu anamsaka kijana emma kila uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
daah mkuu mimi nina kinyaa mnooo hata ukitaja story za toilets tu nakosa raha
Hahahhaa..utampata wap tena kajificha nyuma ya keyboard.hopin address zote amebadili kabla ya kutekeleza shambulio lake la aibu leoKijana Emma kampa hasira sana mshikaji endapo akipata nafasi ya kuonana nae ana kwa ana atampa taabu sana.
Hahaa kwaheri AiseeeMimi sipati kinyaa naweza kula hata nikiwa napakuwa chemba.
hahaa Emma mwehu sana Yule mtoto ''. then itakuwa ana multiple ids humu "@Miminimkulimaakachekasana uyu kashike nafasi ya nne.
Uyu anamsaka kijana emma kila uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani ni Muongo mpaka anajiongopea yeye mwenyeweHahahhaa..utampata wap tena kajificha nyuma ya keyboard.hopin address zote amebadili kabla ya kutekeleza shambulio lake la aibu leo
Sent using Jamii Forums mobile app