Kutoboa masikio ni utamaduni au mitindo?

Kutoboa masikio ni utamaduni au mitindo?

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
860
Reaction score
620
Kumetokea wimbi la wasichana na wamama kutoboa masikio zaidi ya ilivokuwa zamani.
Zamani tulijua kutoga masikio kuliendana na ule utaratibu kutoboa sehemu ya chini kabisa ya sikio tundu moja...

Ilivo sasa unakuta mdada au hata mmama sikioni kuna matundu zaidi ya manne wengine mpka sita sikio moja...
Swali langu......

Huu ni utamaduni wa wapi au kama mtindo ni wa kutoka wapi..?


Je, hii hali haina madhara kiafya ukizngatia dunia ya leo ambayo kila kitu n threat kwa maisha yetu na miili yetu.

Au ndo yale mambo ya kuiga tusiyoyajua kama kuvaa shanga, vikuku na Vipini......


Naomba kuwasilishaaa
 
Kutoboa Pua na kuvaa shanga na vikuku vimeanzia huko bara la Asia India na ndo ukaja kusambaa mabara mengine Wazungu wao waka anzisha Piercing kutoga uso Ulimi kitovu na mpaka Uke by the way Napenda Midada iliyotoboa Pua mana inakuwa sexy yani hata Gucci bag ntamnunulia
 
masikio mbona kawaida ishakuwa.sasa ulishakutana na hereni ktk mbunye au kipochi manyoya
 
Ni utamaduni kwa baadhi ya makabila na mitindo kwa baadhi ya wanawake wa kidigitali
 
Back
Top Bottom