Kumetokea wimbi la wasichana na wamama kutoboa masikio zaidi ya ilivokuwa zamani.
Zamani tulijua kutoga masikio kuliendana na ule utaratibu kutoboa sehemu ya chini kabisa ya sikio tundu moja...
Ilivo sasa unakuta mdada au hata mmama sikioni kuna matundu zaidi ya manne wengine mpka sita sikio moja...
Swali langu......
Huu ni utamaduni wa wapi au kama mtindo ni wa kutoka wapi..?
Je, hii hali haina madhara kiafya ukizngatia dunia ya leo ambayo kila kitu n threat kwa maisha yetu na miili yetu.
Au ndo yale mambo ya kuiga tusiyoyajua kama kuvaa shanga, vikuku na Vipini......
Naomba kuwasilishaaa