Kutoboa ukiwa Yanga SC kwenda kucheza Soka la nje ni ngumu

Mtu kama feisal anakipaji kikubwa sana lakini kutokana na timu aliyokuwa nayo wakifika CAF tu hatua na mtoano hawatoboi ndio anazidi kudidimia.

Ila kama Feisal angepata timu nzuri or yanga wangejitahidi hata kuingia makundi basi mda sana, angeshasajiliwa kwenye timu kubwa Afirca mwishowe ingekuwa ni mlango wake wa kuelekea Ulaya ila ndio hivyo anatamba na ligi ya ndani tu
Ni mchezaj gani wa Simba mtanzania aliyesajiliwa timu kubwa Africa kwa Miaka hii minne
 
Fei yupo yupo tu , hata zile tetesi za kutengeneza kuwa anahamia simba ili uto wamwongezee mpunga sijawahi kusikia. Ni ngasa ajae labda abadilike.
 
Kwani wakina mkude, Mohamed Hussein, John Boko n k mbona wanazeekea simba
 
Wachezaji wangapi wanaenda Europe hajawahi kucheza hata Simba na Yanga? Farid, Novatus walicheza wapi ?
 
Inawezekana akawa ana kipaji kizuri lakn hicho kipaji chake anakionesha akicheza dhidi ya akina nani!???

Mtu anang'aa dhidi ya akina Ruvu shooting, Mbeya City, Mbuni Fc, Friends Ranger nk lakn wakija akina Vipers, Rivers, Hilal, Zanaco mchezaji anakuwa kama bundi anaishi gizani, haonekani kabisaa,,,, atauzikaje kwenda nje!??

Yanga sio tu wachezaji hata makocha wao wakiachwa wanakuwa hawana soko tena

1. Zahera alitemwa akaenda Gwambina, akarudi Yanga kuzuga zuga, mara sasa hv kawa mchambuzi wa kujua nani kanenepa na nani hana kasi na dili zake za kuuza tshirt za Polo online

2. Cedric Kaze alitemwa akakaa kitaa, mwisho akaomba arudi kama mkalimani wa Nabi, ndipo Yanga wakamuonea huruma wakampa ass coach

Sasa angalia Makocha waliotemwa Simba
1. Didier Gómez - Alipata timu ya taifa Mauritania kushiriki Afcon
2. Sven- Alipata FAR Rabat Morroco
3. Aussems-alienda Fc Leopards South Africa
4. Goran- kaenda Al Ittihad

Kwa upande wa wachezaji Simba imeuza
1. Samatta-kwenda Tp Mazembe kisha Genk
2. Ochan- aliondoka na Samatta kwenda Mazembe
3. Henry Joseph Shindika- Kongsvinger
4. Haruna Moshi Boban
5. Okwi-Esperance de Tunis
6. Kichuya--Pharco egypt
7. Matola - Supersport Utd kwa Mandela
8. Miquissone
9. Chama
Nk nk

Hakuna mchezaji na kocha yoyote ktk ukanda huu wa East, Central and west África wasiotamani kuja SIMBA, kwasbb licha tu ya maslahi mazuri lakn ukifanya vizuri unakuza Profile yako na inakuwa rahisi kuuzika kwenda Vilabu vikubwa kuvuta mpunga mnene

Sasa wakikosa nafasi SIMBA ndipo huenda Vilabu vya chini yake huko Utopoloni

Mtu kama Aziz Ki sasa hv atakuwa mwenye majuto sana

Mdaka mishale miezi michache kabla hajaja Uto alikuwa nambari Uno pale Mali National team, ila sasa hv kila akimpigia simu Kocha wake timu ya taifa hapokei simu [emoji3]
Unavyo eleza utazani hao walienda timu za maana kumbe mavi tu
 
Hoja nyingine ni mfu na ya kijinga, kwa point ya mtoa Uzi ingetakiwa wachezaji wote wa Simba wawe ulaya lakin wako hapa hapa ligi ya NBC
Wewe ndio mjinga huelewi. Samatta na Miqussoine walisajiliwa na timu kubwa za Afrika kutokea simba kutokana na kufanya vizuri CAF lakini pia kutokana na umri wao. Ndio maana tunamshauri fei toto na sio Sure boy na hii ni kutokana na umri.
 
Ni wawili katika wachezaji wa Simba Zaid ya 50, umesoma kweli wachezaji wawili ambao wamefanikiwa Simba ndo unapiga kelele hivyo

Yanga Wana mmoja msuva tofauti ya mmoja na wawili ni ndogo sana acha ujinga dogo
 
Kwani umeambiwa kila anaechezea simba anasajiliwa kwingine? Hujui maana ya probability?
Sasa mbona ni wawili tu plus chama aliyeshindwa maisha huko uarabuni, same kwa yanga ni mmoja msuva plus kisinda aliyeshindwa kama chama kwa akili yako hapo Kuna tofauti gani

Ungeniambia Simba imepeleka wachezaji kumi abroad ningekuelewa Simba 3 yanga 2 alafu unasema Simba Ina probability kubwa serious
 
Wewe ndio mjinga huelewi. Samatta na Miqussoine walisajiliwa na timu kubwa za Afrika kutokea simba kutokana na kufanya vizuri CAF lakini pia kutokana na umri wao. Ndio maana tunamshauri fei toto na sio Sure boy na hii ni kutokana na umri.
Nonda kacheza fainali UEFA na kipindi anacheza yanga yanga haikufika popote caf
 
Inawezekana akawa ana kipaji kizuri lakn hicho kipaji chake anakionesha akicheza dhidi ya akina nani!???

Mtu anang'aa dhidi ya akina Ruvu shooting, Mbeya City, Mbuni Fc, Friends Ranger nk lakn wakija akina Vipers, Rivers, Hilal, Zanaco mchezaji anakuwa kama bundi anaishi gizani, haonekani kabisaa,,,, atauzikaje kwenda nje!??

Yanga sio tu wachezaji hata makocha wao wakiachwa wanakuwa hawana soko tena

1. Zahera alitemwa akaenda Gwambina, akarudi Yanga kuzuga zuga, mara sasa hv kawa mchambuzi wa kujua nani kanenepa na nani hana kasi na dili zake za kuuza tshirt za Polo online

2. Cedric Kaze alitemwa akakaa kitaa, mwisho akaomba arudi kama mkalimani wa Nabi, ndipo Yanga wakamuonea huruma wakampa ass coach

Sasa angalia Makocha waliotemwa Simba
1. Didier Gómez - Alipata timu ya taifa Mauritania kushiriki Afcon
2. Sven- Alipata FAR Rabat Morroco
3. Aussems-alienda Fc Leopards South Africa
4. Goran- kaenda Al Ittihad

Kwa upande wa wachezaji Simba imeuza
1. Samatta-kwenda Tp Mazembe kisha Genk
2. Ochan- aliondoka na Samatta kwenda Mazembe
3. Henry Joseph Shindika- Kongsvinger
4. Haruna Moshi Boban
5. Okwi-Esperance de Tunis
6. Kichuya--Pharco egypt
7. Matola - Supersport Utd kwa Mandela
8. Miquissone
9. Chama
Nk nk

Hakuna mchezaji na kocha yoyote ktk ukanda huu wa East, Central and west África wasiotamani kuja SIMBA, kwasbb licha tu ya maslahi mazuri lakn ukifanya vizuri unakuza Profile yako na inakuwa rahisi kuuzika kwenda Vilabu vikubwa kuvuta mpunga mnene

Sasa wakikosa nafasi SIMBA ndipo huenda Vilabu vya chini yake huko Utopoloni

Mtu kama Aziz Ki sasa hv atakuwa mwenye majuto sana

Mdaka mishale miezi michache kabla hajaja Uto alikuwa nambari Uno pale Mali National team, ila sasa hv kila akimpigia simu Kocha wake timu ya taifa hapokei simu 😀
Mpitmra was Simba ba Yanga umefanya MIJITU inegeuka mizuzu.

Kuanzia asubuhi, mchana, jioni usiku. Simba aimbaaaaa, Yangaaaa yangaaaa
 
Mtu kama feisal anakipaji kikubwa sana lakini kutokana na timu aliyokuwa nayo wakifika CAF tu hatua na mtoano hawatoboi ndio anazidi kudidimia.

Ila kama Feisal angepata timu nzuri or yanga wangejitahidi hata kuingia makundi basi mda sana, angeshasajiliwa kwenye timu kubwa Afirca mwishowe ingekuwa ni mlango wake wa kuelekea Ulaya ila ndio hivyo anatamba na ligi ya ndani tu
Kwani nawe mwana mkia fc🦁 unayetuombea mabaya tu au?
 
Mtu kama feisal anakipaji kikubwa sana lakini kutokana na timu aliyokuwa nayo wakifika CAF tu hatua na mtoano hawatoboi ndio anazidi kudidimia.

Ila kama Feisal angepata timu nzuri or yanga wangejitahidi hata kuingia makundi basi mda sana, angeshasajiliwa kwenye timu kubwa Afirca mwishowe ingekuwa ni mlango wake wa kuelekea Ulaya ila ndio hivyo anatamba na ligi ya ndani tu
🤔🤔🤔 naanza kupata picha sasa
 
Back
Top Bottom