Kutofanikiwa kwa big result now

Kutofanikiwa kwa big result now

jakamot

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
51
Reaction score
4
Niko kwenye kikao cha walimu wa kata3 za etaqo, nyakatende na nyegina chini mwenyekiti wa halmashaur mkurugenzi afisa utumishi na deo kubaini changamoto za matokeo makubwa sasa/ hoja zinazotolewa ni kucheleweshewa malipo/ kutorekebishiwa mshahara kwa wakati na serikali kupuuza madai ya walimu 7 .
 
Mfano mm
.
Nikupe mitihani ya mwanangu um sahishie.... Ukimaliza vizuri na ukanipa
.
Lazma nikuletee jeuri
 
inapokuja suala la elimu sirikali huwa inajidumaza kufikiri, na hufanya hivo kwa makusudi tu.
 
Back
Top Bottom