'Kutofungamana na Upande wowote', sera iwekewe mkazo kuepusha migogoro ya kidiplomasia. Suala la Nemes Tarimo ni doa

Yaani najijuta nacheka sana, unadhani wamarekani kuwachukia waarabu wote kwa sababu ya Osama kwamba Osama alitumwa na palestina
 
Katika hali ya vita kuna mengi sana hufanyika nyuma ya pazia. Vita inahusu kuuana. Wanahitajika watu wengi, wenye utaalamu na wasio nao, wakifanya kazi ngumu za upagazi n.k.
Hakuna ukweli sana katika hali hiyo.
Taarifa zinazotolewa wakati wa vita siyo za kuamini sana.
Unategemea warusi waseme huwa tunawalazimisha wafungwa kwenda vitani?
 
Kwani alikuwa kwenye jeshi la Russia?
 
Kama anafanya mambo yasiyofaa ni lazima tuhoji elimu yake kabla ya mengine. Na sipo hapa kumtetea yeyote anayefanya kosa awe msomi ama sio msomi.
Mambo yasiyofaa yapi? Sheria hairuhusu SAWA. Wewe mfano una kifungo cha miaka10 jela unapewa hiyo option utakataa uendelee KUKAA jela KWA sababu tu sheria ya nchi YAKO hairuhusu? Broo linapokuja swala la kutetea uhuru wako naweka kila kitu pembeni nijue najinusuru vipi. Hiyo hiyo sheria unayosema sijui anadhalilisha ubalozi. Je huoni yanayotokea KWA ndugu zetu south africa na ubalozi umekaa kimya, oman dada zetu na mpaka video na balozi zimekaa kimya hakuna kosa alilofanya hata wewe ndani ya moto wako unajua ungefanya hivyo
 
Kama huna passport ya Tanzania, basi itafute ili uisome. Kuna maelezo yako wazi kabisa mule yakitoa mwongozo kwa mtumiaji anapokuwa katika nchi za nje.
 
Kama anafanya mambo yasiyofaa ni lazima tuhoji elimu yake kabla ya mengine. Na sipo hapa kumtetea yeyote anayefanya kosa awe msomi ama sio msomi.
Tuanze na hapo. Kwanza ijulikane alishitakiwa kwa kosa gani, na kama alitiwa hatiani na kuhukumiwa je haki ilitendeka?
 
Tuanze na hapo. Kwanza ijulikane alishitakiwa kwa kosa gani, na kama alitiwa hatiani na kuhukumiwa je haki ilitendeka
Kilichopo ambacho Mimi na wewe tunatakiwa tukifahamu ni kwamba alikuwa ni mfungwa hayo mengine yapo beyond our discussion.
 
Kilichopo ambacho Mimi na wewe tunatakiwa tukifahamu ni kwamba alikuwa ni mfungwa hayo mengine yapo beyond our discussion.
Je hakuna haki kufahamu mtu alifungwa kwa sababu zipi?
 
Niliposikia hili kwa mara ya kwanza nilisikitika kuwa alikuwa kifungoni ughaibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…