- Thread starter
- #21
Yaani najijuta nacheka sana, unadhani wamarekani kuwachukia waarabu wote kwa sababu ya Osama kwamba Osama alitumwa na palestinaSuala la Nemes haliwezi kuwa doa hata kidogo, na hata Ukraine wanajua hilo.
Nemes aliingia into an unfortunate deal ambayo alikuwa anajaribu kujiokoa tok makuch a ya kifungo.
Hakutumwa na serikali, hkutumwa na chama chake, hakutumwa na familia.
Waswahili wanasema its an unfortunate mis adventure.
Bado nchi hii haifungamani na upande wowote katika vita ya Urusi na Ukraine.