KUTOHOA Kwa kiingereza tunasemaje?

KUTOHOA Kwa kiingereza tunasemaje?

Kutohoa ndiyo mini?
KUTOHOA ni kukopa au kuazima neno kutoka ktk lugha nyingine, Neno ambalo tunalitumia kwa kiswahili lakini tafsiri yake au asili yake si la kiswahili, Mfano: Radio(Kiingereza)-(Redio Kiswahili). Spika-Spika, Sub-hoffer-bufa, n.k
 
SPEAKER-SPIKA. Hiyo ndiyo maana halisi ya neno,"KUTOHOA" au utohoaji.
Kiingereza ni SPEAKER, Kwa Kiswahili imekosekana tafsiri yake hivyo wakakopa au wakaazima neno hilo ikaitwa "SPIKA"
 
Back
Top Bottom