Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hahahahahaaa! Kwa kweli asaidiwe. Maana anaweza kuishia kusema... "but naninhii"...Msaidieni huyo, jamani anaandaa hotuba ya mheshimiwa kwa ajili ya mei mosi kesho!
Ha ha haa !Hahahahahaaa! Kwa kweli asaidiwe. Maana anaweza kuishia kusema... "but naninhii"...
KUTOHOA ni kukopa au kuazima neno kutoka ktk lugha nyingine, Neno ambalo tunalitumia kwa kiswahili lakini tafsiri yake au asili yake si la kiswahili, Mfano: Radio(Kiingereza)-(Redio Kiswahili). Spika-Spika, Sub-hoffer-bufa, n.kKutohoa ndiyo mini?
KUTOHOA ni kukopa au kuazima neno kutoka ktk lugha nyingine, Neno ambalo tunalitumia kwa kiswahili lakini tafsiri yake au asili yake si la kiswahili, Mfano: Radio(Kiingereza)-(Redio Kiswahili). Spika-Speaker, Sub-hoffer-bufa, n.k
CoiningMsaada wanabodi nipate Hilo neno KUTOHOA in English.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kusabuskraibu.
Msaada wanabodi nipate Hilo neno KUTOHOA in English.