Ommy6 Member Joined Aug 29, 2022 Posts 67 Reaction score 185 Mar 24, 2023 #1 Nina kifaa cha WiFi asa sijui password mnanisaidiaje? Kifaa nilikua natumia na x wangu na ndio alienipa asa nimeachana nae sijajua Kama kanibadilishia ila kifaa kanipa ninacho wakuu msaada.
Nina kifaa cha WiFi asa sijui password mnanisaidiaje? Kifaa nilikua natumia na x wangu na ndio alienipa asa nimeachana nae sijajua Kama kanibadilishia ila kifaa kanipa ninacho wakuu msaada.
RO7 ZA MGOS JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 2,018 Reaction score 5,752 Mar 24, 2023 #2 Kilikuwaa chako...mbonaa leo nyuz za ma xxx....nying sn aseee tz ngumu sn kila mtu ataowa mke wa mtu
Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 10,931 Reaction score 24,816 Mar 24, 2023 #3 Ommy6 said: Nina kifaa cha WiFi asa sijui password mnanisaidiaje? Kifaa nilikua natumia na x wangu na ndio alienipa asa nimeachana nae sijajua Kama kanibadilishia ila kifaa kanipa ninacho wakuu msaada Click to expand... Piga picha nione ni aina gani nikuelekeze maana kuna vya tigo, voda, airtel n.k
Ommy6 said: Nina kifaa cha WiFi asa sijui password mnanisaidiaje? Kifaa nilikua natumia na x wangu na ndio alienipa asa nimeachana nae sijajua Kama kanibadilishia ila kifaa kanipa ninacho wakuu msaada Click to expand... Piga picha nione ni aina gani nikuelekeze maana kuna vya tigo, voda, airtel n.k