Kutojua password

Kutojua password

Ommy6

Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
67
Reaction score
185
Nina kifaa cha WiFi asa sijui password mnanisaidiaje?

Kifaa nilikua natumia na x wangu na ndio alienipa asa nimeachana nae sijajua Kama kanibadilishia ila kifaa kanipa ninacho wakuu msaada.
 
Nina kifaa cha WiFi asa sijui password mnanisaidiaje? Kifaa nilikua natumia na x wangu na ndio alienipa asa nimeachana nae sijajua Kama kanibadilishia ila kifaa kanipa ninacho wakuu msaada
Piga picha nione ni aina gani nikuelekeze maana kuna vya tigo, voda, airtel n.k
 
Back
Top Bottom