Kutoka 5G hadi 2G!! Wanajipoza kwa kudai kikubwa pointi 3 zimeingia!!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Ukweli ni kwamba safari ya kwenda chini imeshaanza! Hata kama bado wako juu juu lakini ni suala la muda tu, watajikuta wako chini. Wenzao wako kwenye safari ya kwenda juu!! Wahusika pande zote wanajijua!!
 
Kitu kikubwa ni Yanga hivi sasa kuweka tayari mikakati kabambe na bajeti kubwa ya motisha kwa wachezaji ili kuvuna points 6 za Simba na points 6 za Azam hayo mawazo ni mfu ni kama taarabu tu!

Kuna timu za kukaza msuli na kupiga khamsa kama Simba , Azam, Kaizer Chiefs huwa inapendeza sana na kuna timu zingine hata ushindi wa goli moja mwake mwake babaake!!!

Yani ujimalize nguvu kwa vitimu vidogo ina maana gani, hata Madrid huanza kama hivi huko mbele ndo utajua wao nani!!
 
Kitu kikubwa ni Yanga kuvuna point 6 za Simba na 6 za Azam hayo mawazo ni kama taarabu tu!

Kuna timu za kukaza msuli na kupiga khamsa kama Simba , Azam, Kaizer Chiefs huwa inapendeza sana na kuna timu zingine hata ushindi wa goli moja mwake mwake babaake!!!

Yani ujimalize nguvu kwa vitimu vidogo ina maana gani, hata Madrid huanza kama hivi huko mbele ndo utajua wao nani!!
Utopolo wanajua kujifariji!! Ila ukweli ni kwamba walinuna!! hata kocha alinuna!! Wote mlimsikia baada ya mechi. Hakuuma maneno, alisema timu ilicheza vibaya hasa kipindi cha pili!!
 
Hakuna timu duniani yenye matokeo makubwa kila mechi.
Madrid ambayo ni timu bora zaidi duniani imecheza mechi 2 za ligi,imepata magoli 2 na kuvuna point 2.
Kinachokusumbua mleta mada sio ushabiki bali UPUMBAVU.
 
Ukweli ni kwamba safari ya kwenda chini imeshaanza! Hata kama bado wako juu juu lakini ni suala la muda tu, watajikuta wako chini. Wenzao wako kwenye safari ya kwenda juu!! Wahusika pande zote wanajijua!!
Magoli 2 dhidi ya Kagera tena Kaitaba mnalibeza wakati msimu uliopita mechi iliisha 0-0
 
Timu kufungwa goli 5 au zaidi au chini inatokana na namna ya ufanyikaji makosa uwanjani na kisha mwenzio kutumia makosa yako. Ukijichanganya unakula nyingi ukijitahidi kuwa na nidhamu na maarifa basi utakula kidogo au hata droo au hata nawe ukaotea kufunga. Sasa yanga haina hatimiliki ya kufunga magoli mengi ila ukizubaa unafungwa hata zaidi..mhimu timu inachexa ipate point 3 magoli yoyote
 
Hakuna timu duniani yenye matokeo makubwa kila mechi.
Madrid ambayo ni timu bora zaidi duniani imecheza mechi 2 za ligi,imepata magoli 2 na kuvuna point 2.
Kinachokusumbua mleta mada sio ushabiki bali UPUMBAVU.
Imewauma!! Poleni!! 5G kwishney! Mechi ijayo mtakuwa wazee wa 1G
 
Kwani msimu uliopita Yanga mpaka anachukua kombe alikuwa anashinda mechi zote 2+? Si kuna mechi kaishia kushinda goli moja tu tena kwa mbinde lakini bingwa akawa nani? Ligi ni mbio ndefu, yaani kucheza na timu zilizozuiwa kuwatumia wachezaji wao wa kigeni tena mechi zote mbili upo home inawafanya mjisahaulishe kuhusu mchezo wa mpira wa miguu. Katika mechi 15 za way tayari Yanga kapunguza mechi moja.
 
Ukweli ni kwamba safari ya kwenda chini imeshaanza! Hata kama bado wako juu juu lakini ni suala la muda tu, watajikuta wako chini. Wenzao wako kwenye safari ya kwenda juu!! Wahusika pande zote wanajijua!!
Nov 5
 
Timu kufungwa goli 5 au zaidi au chini inatokana na namna ya ufanyikaji makosa uwanjani na kisha mwenzio kutumia makosa yako. Ukijichanganya unakula nyingi ukijitahidi kuwa na nidhamu na maarifa basi utakula kidogo au hata droo au hata nawe ukaotea kufunga. Sasa yanga haina hatimiliki ya kufunga magoli mengi ila ukizubaa unafungwa hata zaidi..mhimu timu inachexa ipate point 3 magoli yoyote
Sasa mbona mlinuna? Umeamua kujisahaulisha jinsi kocha wenu ambavyo hutaka magoli mengi??utopolo wakinuna utawajua tu!!
 
Ndio inapowezekana magoli mengi mhimu hakuna timu isiyopenda hilo. Nadhani mjadala huu hauna mashiko vinginevyo kuna wanasiasa wanaanza kutumia ubishani wa mpira usio na maana, hivyo kuwalaumu watanzania kushabikia yanga na simba
 
Back
Top Bottom