mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Utopolo wanajua kujifariji!! Ila ukweli ni kwamba walinuna!! hata kocha alinuna!! Wote mlimsikia baada ya mechi. Hakuuma maneno, alisema timu ilicheza vibaya hasa kipindi cha pili!!Kitu kikubwa ni Yanga kuvuna point 6 za Simba na 6 za Azam hayo mawazo ni kama taarabu tu!
Kuna timu za kukaza msuli na kupiga khamsa kama Simba , Azam, Kaizer Chiefs huwa inapendeza sana na kuna timu zingine hata ushindi wa goli moja mwake mwake babaake!!!
Yani ujimalize nguvu kwa vitimu vidogo ina maana gani, hata Madrid huanza kama hivi huko mbele ndo utajua wao nani!!
Magoli 2 dhidi ya Kagera tena Kaitaba mnalibeza wakati msimu uliopita mechi iliisha 0-0Ukweli ni kwamba safari ya kwenda chini imeshaanza! Hata kama bado wako juu juu lakini ni suala la muda tu, watajikuta wako chini. Wenzao wako kwenye safari ya kwenda juu!! Wahusika pande zote wanajijua!!
Imewauma!! Poleni!! 5G kwishney! Mechi ijayo mtakuwa wazee wa 1GHakuna timu duniani yenye matokeo makubwa kila mechi.
Madrid ambayo ni timu bora zaidi duniani imecheza mechi 2 za ligi,imepata magoli 2 na kuvuna point 2.
Kinachokusumbua mleta mada sio ushabiki bali UPUMBAVU.
Kwani msimu uliopita Yanga mpaka anachukua kombe alikuwa anashinda mechi zote 2+? Si kuna mechi kaishia kushinda goli moja tu tena kwa mbinde lakini bingwa akawa nani? Ligi ni mbio ndefu, yaani kucheza na timu zilizozuiwa kuwatumia wachezaji wao wa kigeni tena mechi zote mbili upo home inawafanya mjisahaulishe kuhusu mchezo wa mpira wa miguu. Katika mechi 15 za way tayari Yanga kapunguza mechi moja.Imewauma!! Poleni!! 5G kwishney! Mechi ijayo mtakuwa wazee wa 1G
Nov 5Ukweli ni kwamba safari ya kwenda chini imeshaanza! Hata kama bado wako juu juu lakini ni suala la muda tu, watajikuta wako chini. Wenzao wako kwenye safari ya kwenda juu!! Wahusika pande zote wanajijua!!
Sasa mbona mlinuna? Umeamua kujisahaulisha jinsi kocha wenu ambavyo hutaka magoli mengi??utopolo wakinuna utawajua tu!!Timu kufungwa goli 5 au zaidi au chini inatokana na namna ya ufanyikaji makosa uwanjani na kisha mwenzio kutumia makosa yako. Ukijichanganya unakula nyingi ukijitahidi kuwa na nidhamu na maarifa basi utakula kidogo au hata droo au hata nawe ukaotea kufunga. Sasa yanga haina hatimiliki ya kufunga magoli mengi ila ukizubaa unafungwa hata zaidi..mhimu timu inachexa ipate point 3 magoli yoyote
Huu ni uthibitisho wa kununa kwa 5G kuyeyuka, na bado hata hiyo 2G mtaitafuta kwa tochi!!Upumbavu kama huu unapatikana umakolokoloni tu.
Mimi sio muimba taarabu mwenzio.Ukianza kujadili kwa facts nitashiriki.Imewauma!! Poleni!! 5G kwishney! Mechi ijayo mtakuwa wazee wa 1G
Ndio inapowezekana magoli mengi mhimu hakuna timu isiyopenda hilo. Nadhani mjadala huu hauna mashiko vinginevyo kuna wanasiasa wanaanza kutumia ubishani wa mpira usio na maana, hivyo kuwalaumu watanzania kushabikia yanga na simbaSasa mbona mlinuna? Umeamua kujisahaulisha jinsi kocha wenu ambavyo hutaka magoli mengi??utopolo wakinuna utawajua tu!!