Hamna mijitu ya ajabu kama mibongo, jana wanamlaumu Mama kumpa nyumba Kikwete, wanashindwa kujua kwamba nyumba alijenga Jiwe, na alishapanga tarehe ya kumkabidhi JK, bahati mbaya majanga yakampata. Sasa hili jamaa linafikiri wanaposema ajira elfu 40 basi zitatangazwa kwa pamoja, now naanza kumuelewa Jiwe why alikuwa kauzu sana, wabongo ukiwachekea ni pasua kichwa.Wanaajiri kwa awamu. Unafikiri fedha za kuwalipa mishahara zinaokotwa barabarani hasa ukizingatia ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi hii?
Mmekaa miaka mitano+ bila ajira. Huyu angalau kaanza kuajiri na penyewe povu tu. Mnataka nini sasa? Kuongoza Wabongo shida sana yaani!
Mwaka wa fedha 2021/2022. Bajeti ikipita ndio imeisha hiyoWanaajiri kwa awamu. Unafikiri fedha za kuwalipa mishahara zinaokotwa barabarani hasa ukizingatia ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi hii?
Mmekaa miaka mitano+ bila ajira. Huyu angalau kaanza kuajiri na penyewe povu tu. Mnataka nini sasa? Kuongoza Wabongo shida sana yaani!
yaani wanalalamika kila kitu mpaka nimetamani tufungiwe huu uhuru unaotulevya, kiukweli mtu kama jiwe ndo alikuwa saizi yetu..Wanaajiri kwa awamu. Unafikiri fedha za kuwalipa mishahara zinaokotwa barabarani hasa ukizingatia ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi hii; na mamiradi haya makubwa yaliyoachwa na Marehemu?
Mmekaa miaka mitano+ bila ajira. Huyu angalau kaanza kuajiri na penyewe povu tu. Mnataka nini sasa? Kuongoza Wabongo shida sana yaani!
Ni kweli au ni hasira tu?Wanaajiri kwa awamu. Unafikiri fedha za kuwalipa mishahara zinaokotwa barabarani hasa ukizingatia ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi hii; na mamiradi haya makubwa yaliyoachwa na Marehemu?
Mmekaa miaka mitano+ bila ajira. Huyu angalau kaanza kuajiri na penyewe povu tu. Mnataka nini sasa? Kuongoza Wabongo shida sana yaani!
Weka data kama unazoNi kweli au ni hasira tu?
Miaka 5 hakukuwa na ajira? Rejea tena taarifa zako.
Mnyonge mnyongeni......
Hii nchi ni shida sana.Wanaamini hizi ajira ndio za kwanza?Ni kweli au ni hasira tu?
Miaka 5 hakukuwa na ajira? Rejea tena taarifa zako.
Mnyonge mnyongeni......
Wasukuma mmevurugwa, kwaiyo unataka waajiri wote kwa mkupuo au, kwaiyo ni makosa wakiajili kwa awamu ?;!;!Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Chakushangaza wametangaza ajira 9000.
Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000.
Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
Mdogo mdogo kumbuka kuna issue bajeti na makusanyo watafikia hizo walizoahidi lakini sio kwa mara moja....jiongeze usisubiri 200k za serikali ukikomaa unapata hata huhitaji ajira....serikali haiwezi kutoa ajira kwa kila mhitimu never......tufungue nchi sekta binafsi ifufuke...Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Chakushangaza wametangaza ajira 9000.
Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000.
Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
Hawaelewi hayo mamiradi aliyoyaacha mwendazake yanatakiwa yaishe.Wanaajiri kwa awamu. Unafikiri fedha za kuwalipa mishahara zinaokotwa barabarani hasa ukizingatia ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi hii; na mamiradi haya makubwa yaliyoachwa na Marehemu?
Mmekaa miaka mitano+ bila ajira. Huyu angalau kaanza kuajiri na penyewe povu tu. Mnataka nini sasa? Kuongoza Wabongo shida sana yaani!
Kwani mwaka mpya wa Fedha Tayari..?Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Chakushangaza wametangaza ajira 9000.
Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000.
Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
Uhuru ss unatulevyaNi kweli au ni hasira tu?
Miaka 5 hakukuwa na ajira? Rejea tena taarifa zako.
Mnyonge mnyongeni......
Hamna mijitu ya ajabu kama mibongo, jana wanamlaumu Mama kumpa nyumba Kikwete, wanashindwa kujua kwamba nyumba alijenga Jiwe, na alishapanga tarehe ya kumkabidhi JK, bahati mbaya majanga yakampata. Sasa hili jamaa linafikiri wanaposema ajira elfu 40 basi zitatangazwa kwa pamoja, now naanza kumuelewa Jiwe why alikuwa kauzu sana, wabongo ukiwachekea ni pasua kichwa.
Hili ndio bunge la bajeti. Hakuna bajeti nyingine ya mishahara hadi Mei 2022.Ajira 40000 ziliahidiwa katika mwaka fedha ujao ikumbukwe mwaka wa fedha wa serikal huanza June mpka may mwaka unaofuata kwahyo hiz ajira ni za kuziba kma Mhe. Alivyoahid mwanzon wala si ajira mpyaw