Kutoka Ajira 40,000 hadi ajira 9,000; hii imekaaje?

Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Cha kushangaza wametangaza ajira 9000.

Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000.

Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
Hivi mkuu nikisema wewe ni 'Mpumbavu' nitakuwa nimekosea?

Anyways, ficha upumbavu wako basi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio mpumbavu tena bendera fata upepo.

Jibu hoja.
Hivi unadhani kuna ajira nyingine zaidi ya hizi na bajeti ndio imepita hivyoooo.

Ajira hazijatolewa 6 years halafu mnasifia huu upuuzi.
Wapumbavu kama nyie ndio Magufuli alikuwa anawatumia kama mtaji wa kisiasa.
Ajira 6000 za waalimu hapo kuna Certificate, Diploma na Degree. Tafuta idadi ya degree tu waliomaliza kuanzia 2015

Pumba.fuuuuu
 
Wasukuma mmevurugwa, kwaiyo unataka waajiri wote kwa mkupuo au, kwaiyo ni makosa wakiajili kwa awamu ?;!;!
Acha ukabila mse#g# unajua kama mtoa mada ni msukuma mbona una akili kama unaubongo uliyojaa stool, nyie ndio mnasababisha vita vya kikabila tuliza kinyeo kiongozi.
 
Wewe ndio mpumbavu tena bendera fata upepo.

Jibu hoja.
Hivi unadhani kuna ajira nyingine zaidi ya hizi na bajeti ndio imepita hivyoooo.

Ajira hazijatolewa 6 years halafu mnasifia huu upuuzi.
Wapumbavu kama nyie ndio Magufuli alikuwa anawatumia kama mtaji wa kisiasa.
Ajira 6000 za waalimu hapo kuna Certificate, Diploma na Degree. Tafuta idadi ya degree tu waliomaliza kuanzia 2015

Pumba.fuuuuu
Hii serikali inatuona sisi wajinga tusiokuwa na akili, narudia kusema tena hizi ndio ajira hakutakuwa na zingine tena may be mwaka ujao wa fedha, hii ndio nitoleeni.
 
Hizo ni ajira Wizara ya Tamisemi tu.Bado Wizara ya afya,Ujenzi,mifugo,ardhi n.k
 
Acha ukabila mse#g# unajua kama mtoa mada ni msukuma mbona una akili kama unaubongo uliyojaa stool, nyie ndio mnasababisha vita vya kikabila tuliza kinyeo kiongozi.
Wai kameze vidonge vyako vya uchizi!!!
 
Hii serikali inatuona sisi wajinga tusiokuwa na akili, narudia kusema tena hizi ndio ajira hakutakuwa na zingine tena may be mwaka ujao wa fedha, hii ndio nitoleeni.
Kweli mkuu.
 
Siku ya Mei mosi mama alitoa ahadi ya ajira 40,000 mwaka huu wa fedha. Cha kushangaza wametangaza ajira 9000.

Ummy Mwalimu aliliambia bunge kuwa wataajiri watumishi 12,000 katika kada ya afya ila wametangaza nafasi 2000.

Wito serikali waache janja janja na uongo uongo.
Ikumbukwe kuwa Mh. Samia sasa anatekeleza budget ya 2020/2021. Na kwa vyovyote zile ajira 40k ni ahadi kwa bajeti ijayo ya 2021/2022.

Tusizoee kubeza kila jambo jamani!!
 
Hii ndo shida kwa nini wabongo tuna bongo hafifu za kuelewa mambo,serikali ilishasema itaajiri kwanza kuziba nafasi zilizo achwa wazi na kisha mwaka wa fedha 2021/22 wataajiri watu 40+ shida iko wapi
 
Back
Top Bottom