Lakini pia Yanga wanalewa sifa za vyombo vya habari kuwapamba badala ya kuwaambia makosa ya kiufundi. Mimi nilikuwa nasikia watu eti yanga wanaenda kuchukua pointi. Ponti kwa mwarabu??Ndala FC wamepigwa....!
usihame kwenye maadaMechi ya ubingwa mmechemsha Mwanza...jumanne mnapokwa points za kagera..Yanga bingwa tena 2017 kwa mara ya tatu mfululizo
Yanga apigwe za kutosha tu, hamna uzalendo hapa, hatupendagi unafiki!Tuendelee kubana mapwido, mapumbuje Yanga ishinde.
Soka LA bongo liko Ki imani zaidi