Lingekuwa moja tungesema kwa mbinde. Kufungwa bao 4 ni dhahiri kuwa ndala imetoboka na ni mdebwedo. Pole mtaniWamefungwa 4 kwa mbinde!!!!
Itolewe mara ngapi?Kama ni mbovu mbona haijatolewa?
Eti Simba mnyama ameng'ang'aniwa na ka-Toto huko Mwanza? Na mwaka huu kombe atalisikia tu!!
Inaonekana akili zako ni kama avatar yako.Majinga majinga tu. Kila siku vipigo vikubwa ni sisi, mbona wenzetu simba hawanyanyaswagi hivi.
Wamezoea kuhonga bongoMajinga majinga tu. Kila siku vipigo vikubwa ni sisi, mbona wenzetu simba hawanyanyaswagi hivi.