thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Dah kweli wamekufa kiumeYalikuwa ni magoli ya kushutukiza, ni kama ambush 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kweli wamekufa kiumeYalikuwa ni magoli ya kushutukiza, ni kama ambush 😀😀😀
Kwani avatar inang'amua vipi akili za mtu. Acha povu.Inaonekana akili zako ni kama avatar yako.
hahahahahahahLTE 😱
kInaonekana akili zako ni kama avatar yako.
Hahhahaha! nafurahi sana, kelele zote zimekwisha mtaani. At least jana nimelala fresh, cku ile wamefunga kagoli kamoja Dar walichongaaa, nikawambia mnawajua MCA waulizeni Tp MazembeYANGATEL mtandao mpya ambao unasoma 4G kutoka zenji mpka Uarabuni
umewasahau libolo Mara hii au unajifarijiHayo ndy matokeo ya MIAMALA...na mtaendelea KUTAFUNWA 4 G....hadi mkome mipango yenu ya MIAMALA YA TIGO PESA... kila siku nazungumza mimi humu...wakimataifa anajulikana ni MNYAMA....hivi mtu UKUTANE na KIDUME kikupige KISHA KIKUVUE NGUO ZOTE kikuache UCHI...useme umepigana KIUME?
Unazungumzia enzi za wachezaji wanacheza tumbo wazi bila jezi...na peku peku bila viatu?.mpira hauna historia..ndy maana ligi zinachezwa kila siku..inashangaza kujiita wa kimataifa wakati kila mkigusa nje.. 4 LTE... mwarabu mliowahi kumtoa ktk mashindano haya..kwao walishuka daraja..same year.. Inaonyesha ilikuwa mbovu kiasi ganiumewasahau libolo Mara hii au unajifariji