teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau nahitaji kuipandisha simu yangu samsung note 9 yenye os 8.1 kwenda os 10 nifanyeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo inabidi utumie custom roms, zipo nyingi chagua upendayo.Wadau nahitaji kuipandisha simu yangu samsung note 9 yenye os 8.1 kwenda os 10 nifanyeje?
Mtihani upo hapo kwe root, hivi hii inawezekana ku root bila computer? Kama ndio app gani nitumie?Hapo inabidi utumie custom roms, zipo nyingi chagua upendayo.
Fanya hivo ikiwa simu yako haipati hiyo version officially.
Lakini simu yako pia inatakiwa ume iroot na kuistall custom recovery
Mmmh mimi mwenyewe nimepitwa na wakati lkn najikongoja tuKanunue mpya mzee hyo tuuzie sisi tuliopitwa na wakat
Sidhani jaribu Kuangalia youtube utapata jibu.Mtihani upo hapo kwe root, hivi hii inawezekana ku root bila computer? Kama ndio app gani nitumie?
Upgrade,Wadau nahitaji kuipandisha simu yangu samsung note 9 yenye os 8.1 kwenda os 10 nifanyeje?
Nokia smart zote zinamwagiwa update mpaka 11 hahaha.Wadau nahitaji kuipandisha simu yangu samsung note 9 yenye os 8.1 kwenda os 10 nifanyeje?
Hii iko Samsung toka Android 9.Huawei wametoa toleo la android 11 ambayo unaweza kutumia number mbili tofauti za WhatsApp kwenye simu 1.
Bado wanatoa simu za android?Huawei wametoa toleo la android 11 ambayo unaweza kutumia number mbili tofauti za WhatsApp kwenye simu 1.