Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 464
- 393
hata kama ni wewe si mbaya!!! kuna kitu wanakiita credit transifer,hii inamwezesha mwanafunzi kutoka chuo kimoja kwenda kingine....naimani inategemea sana na ufaulu wako hasa kwenye huo mwaka wa kwanza,matokeo yako ya form6(sina hakika sana na hili)...unaweza pia kucheki prospectus ya mzumbe kwenye web yao!!! ngoja wenye ujuzi zaid waje...
Sababu gani znazomtoa huko st john na kumpeleka mzumbe,au anafuata jina la chuo?hlo suala lnawezekana lakn ngoma itakua ngumu kwenye Kuhamisha mkopo..mwambie asikurupuke,ajipange vizuri,otherwise atapata shida sana.over
Kwani st johns nao huwa wanapewa mikopo?
Sababu gani znazomtoa huko st john na kumpeleka mzumbe,au anafuata jina la chuo?hlo suala lnawezekana lakn ngoma itakua ngumu kwenye Kuhamisha mkopo..mwambie asikurupuke,ajipange vizuri,otherwise atapata shida sana.over
lordville upo mkuu!!! kk mzumbe kuna BAF mbili imean bachelor of a/c and finance in business sector na bachelor of a/c and finance in public sector.sasa ili iweze ku transfer fresh koz izo za mzumbe kwa mwaka wana koz 10 per year imean each semister una soma koz 5.sasa ili uwe eligible kutransfer inabid st john kwenye iyo baf yenu uwe na atleast 6 mutual koz kati ya st john ulizozisoma st john first yr ziwe sawa na za mzumbe.