Kutoka BAF St John's kwenda BAF Mzumbe inawezekana?

Tagawa Mwakitombile

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
464
Reaction score
393
heshima kwenu wanajf,kuna rafikiyangu nikonaye mwaka wa kwanza hapa st john's ANAOMA BAF na anataka mwaka wa 2 ahame kwenda mzumbe kusomea BAF

je napenda kujua inawezekana?

Kama inawezekana process zake zikoje?

Je vp kuhusu kutransfer mkopo?
(hapa namaanisha utafika on time or it'll take long time)

thank's in advance#
 
hata kama ni wewe si mbaya!!! kuna kitu wanakiita credit transifer,hii inamwezesha mwanafunzi kutoka chuo kimoja kwenda kingine....naimani inategemea sana na ufaulu wako hasa kwenye huo mwaka wa kwanza,matokeo yako ya form6(sina hakika sana na hili)...unaweza pia kucheki prospectus ya mzumbe kwenye web yao!!! ngoja wenye ujuzi zaid waje...
 
thnk's mkuu!
 
lordville upo mkuu!!! kk mzumbe kuna BAF mbili imean bachelor of a/c and finance in business sector na bachelor of a/c and finance in public sector.sasa ili iweze ku transfer fresh koz izo za mzumbe kwa mwaka wana koz 10 per year imean each semister una soma koz 5.sasa ili uwe eligible kutransfer inabid st john kwenye iyo baf yenu uwe na atleast 6 mutual koz kati ya st john ulizozisoma st john first yr ziwe sawa na za mzumbe.
 
Sababu gani znazomtoa huko st john na kumpeleka mzumbe,au anafuata jina la chuo?hlo suala lnawezekana lakn ngoma itakua ngumu kwenye Kuhamisha mkopo..mwambie asikurupuke,ajipange vizuri,otherwise atapata shida sana.over
 
Kwani st johns nao huwa wanapewa mikopo?
 
Sababu gani znazomtoa huko st john na kumpeleka mzumbe,au anafuata jina la chuo?hlo suala lnawezekana lakn ngoma itakua ngumu kwenye Kuhamisha mkopo..mwambie asikurupuke,ajipange vizuri,otherwise atapata shida sana.over

nashukuru sana nduguyangu
 
lordville upo mkuu!!! kk mzumbe kuna BAF mbili imean bachelor of a/c and finance in business sector na bachelor of a/c and finance in public sector.sasa ili iweze ku transfer fresh koz izo za mzumbe kwa mwaka wana koz 10 per year imean each semister una soma koz 5.sasa ili uwe eligible kutransfer inabid st john kwenye iyo baf yenu uwe na atleast 6 mutual koz kati ya st john ulizozisoma st john first yr ziwe sawa na za mzumbe.

thnk's mkuu!
nimeiangalia prospectus ya mzumbe nimeona kozi zote za first year ni sawa na za st john's
 
Back
Top Bottom