kutoka bodi ya mikopo elimu ya juu heslb

mtaalam1

Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
45
Reaction score
3
wewe unaesubiri hebu soma hapa usichanganywe

BODI ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HESLB) inaendelea
kuchambua wanafunzi wa
vyuo vya elimu ya juu,
waliofikia vigezo vya kupewa
mikopo.
Mkurugenzi wa Mawasiliano
wa Bodi hiyo, Cosmas
Mwaisobwa alisema
hataweza kutoa takwimu
kamili za wanafunzi
waliopewa kwa mwaka wa
masomo 2013/2014 mpaka
hapo kazi hiyo
itakapokamilika.
“Kwa mujibu wa Tume ya
Vyuo Vikuu, vyuo vitaanza
masomo wiki ya pili ya
mwezi Oktoba, hivyo bado
kuna muda wa kutosha wa
kukamilisha kazi hii na ikiwa
tayari, tutawatangazia
waliopewa mikopo,”
alisema.
Heslb ilitoa mwezi mmoja
kwa wanafunzi
wanaotarajiwa kujiunga na
vyuo vikuu na wanafunzi
wanaoendelea na masomo
kwa mwaka wa masomo
2013/2014, kuomba mikopo,
kazi iliyokamilika Juni 30
mwaka huu.
Wizara ya Elimu na Mafunzo
ya Ufundi, imetenga Sh
bilioni 306 kwa ajili ya
mikopo ya wanafunzi 98,631
wa vyuo vya Elimu ya Juu
nchini.
Kati ya hao, wanafunzi
35,649 ni waombaji wapya
na wanafunzi 62,376
wanaoendelea na masomo,
ikiwa ni ongezeko la
takribani asilimia 2.4.
 

Tushawazoea.
 

daah mkuu source ya habari yako mbona hujatuambia
 
bodi ya mikopo ya elimu ya chini hawana jipya wao


Dump away your childish perspective... non man will yell out that you're old enough to act resilently....
ona sasa hayo makorokocho uliyopost... if you're given a chance to repost again would you repeate the same faulty ideas..??
 
mtaalam1;7400681
wewe unaesubiri hebu soma hapa usichanganywe

BODI ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HESLB) inaendelea
kuchambua wanafunzi wa
vyuo vya elimu ya juu,
waliofikia vigezo vya kupewa
mikopo.
Mkurugenzi wa Mawasiliano
wa Bodi hiyo, Cosmas
Mwaisobwa alisema
hataweza kutoa takwimu
kamili za wanafunzi
waliopewa kwa mwaka wa
masomo 2013/2014 mpaka
hapo kazi hiyo
itakapokamilika.
“Kwa mujibu wa Tume ya
Vyuo Vikuu, vyuo vitaanza
masomo wiki ya pili ya
mwezi Oktoba, hivyo bado
kuna muda wa kutosha wa
kukamilisha kazi hii na ikiwa
tayari, tutawatangazia
waliopewa mikopo,”
alisema.
Heslb ilitoa mwezi mmoja
kwa wanafunzi
wanaotarajiwa kujiunga na
vyuo vikuu na wanafunzi
wanaoendelea na masomo
kwa mwaka wa masomo
2013/2014, kuomba mikopo,
kazi iliyokamilika Juni 30
mwaka huu.
Wizara ya Elimu na Mafunzo
ya Ufundi, imetenga Sh
bilioni 306 kwa ajili ya
mikopo ya wanafunzi 98,631
wa vyuo vya Elimu ya Juu
nchini.
Kati ya hao, wanafunzi
35,649 ni waombaji wapya
na wanafunzi 62,376
wanaoendelea na masomo,
ikiwa ni ongezeko la
takribani asilimia 2.4.

"Hebu tuangalie hizo takwimu;
35,649
+ 62,376
98,025 sio sawa na 98,631. Napata mashaka juu ya taarifa za namna hii.
 
Hii bodi ya mikopo itatufikisha wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…