wewe unaesubiri hebu soma hapa usichanganywe
BODI ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HESLB) inaendelea
kuchambua wanafunzi wa
vyuo vya elimu ya juu,
waliofikia vigezo vya kupewa
mikopo.
Mkurugenzi wa Mawasiliano
wa Bodi hiyo, Cosmas
Mwaisobwa alisema
hataweza kutoa takwimu
kamili za wanafunzi
waliopewa kwa mwaka wa
masomo 2013/2014 mpaka
hapo kazi hiyo
itakapokamilika.
Kwa mujibu wa Tume ya
Vyuo Vikuu, vyuo vitaanza
masomo wiki ya pili ya
mwezi Oktoba, hivyo bado
kuna muda wa kutosha wa
kukamilisha kazi hii na ikiwa
tayari, tutawatangazia
waliopewa mikopo,
alisema.
Heslb ilitoa mwezi mmoja
kwa wanafunzi
wanaotarajiwa kujiunga na
vyuo vikuu na wanafunzi
wanaoendelea na masomo
kwa mwaka wa masomo
2013/2014, kuomba mikopo,
kazi iliyokamilika Juni 30
mwaka huu.
Wizara ya Elimu na Mafunzo
ya Ufundi, imetenga Sh
bilioni 306 kwa ajili ya
mikopo ya wanafunzi 98,631
wa vyuo vya Elimu ya Juu
nchini.
Kati ya hao, wanafunzi
35,649 ni waombaji wapya
na wanafunzi 62,376
wanaoendelea na masomo,
ikiwa ni ongezeko la
takribani asilimia 2.4.
BODI ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HESLB) inaendelea
kuchambua wanafunzi wa
vyuo vya elimu ya juu,
waliofikia vigezo vya kupewa
mikopo.
Mkurugenzi wa Mawasiliano
wa Bodi hiyo, Cosmas
Mwaisobwa alisema
hataweza kutoa takwimu
kamili za wanafunzi
waliopewa kwa mwaka wa
masomo 2013/2014 mpaka
hapo kazi hiyo
itakapokamilika.
Kwa mujibu wa Tume ya
Vyuo Vikuu, vyuo vitaanza
masomo wiki ya pili ya
mwezi Oktoba, hivyo bado
kuna muda wa kutosha wa
kukamilisha kazi hii na ikiwa
tayari, tutawatangazia
waliopewa mikopo,
alisema.
Heslb ilitoa mwezi mmoja
kwa wanafunzi
wanaotarajiwa kujiunga na
vyuo vikuu na wanafunzi
wanaoendelea na masomo
kwa mwaka wa masomo
2013/2014, kuomba mikopo,
kazi iliyokamilika Juni 30
mwaka huu.
Wizara ya Elimu na Mafunzo
ya Ufundi, imetenga Sh
bilioni 306 kwa ajili ya
mikopo ya wanafunzi 98,631
wa vyuo vya Elimu ya Juu
nchini.
Kati ya hao, wanafunzi
35,649 ni waombaji wapya
na wanafunzi 62,376
wanaoendelea na masomo,
ikiwa ni ongezeko la
takribani asilimia 2.4.