KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Kumekuwa na michango Mizuri kutoka kwa wabunge wetu,lakini pia kumekuwa na michango ya wabunge ambayo aijeng na aiwasaidii wapga kura wao,hivyo nimeona hapa tuwe na jukwa huru kuleta mawazo tofauti kutoka kwa wabunge ili watu wasome na kuweza kuchakata ni nini wamekifanya katika Miaka 5 hasa ukizingatia tunaenda katika kipindi cha uchaguzi ni bora kwa sasa tuanze kuwajadili hapa,Kama unamaoni huru na chanya kwa wabunge wetu wa Bunge la JMT toa hapa tuchakte.