Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
- Thread starter
- #21
Kujenga nyumba Tarime haimainishi kuwa umenunuliwa. Hata wewe unaweza kujenga nyumba Dodoma, je tuseme umenunuliwa?Kawadanganye watoto wadogo wa kwanza waitara alipo lipwa kaenda kujenga tarime
kama alijenga nyumba kwa fedha zake au mkopo? yeye ndiye anayejua amezitoa wapi.
Tuache kuchukia maendeleo ya watu.