Kutoka Chato airport

Hizi ndizo shughuli tunazofanya hapa Chato airport, legacy kwa kwenda mbele!

View attachment 2015653


Kuna watu kwa ujinga wao wanajitoa ufahamu na kumchukulia JPM kuwa alikuwa kiongozi bora... mzalendo... Aaah wapi! Wengi wenye hizo idea utakuta aidha wameshikiwa akili au wanapenda sana kusimuliwa mambo juu juu...
Siyo critical thinkers!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…