Akili za huyu mtu anazijua mwenyewe[emoji1]Namsikia mzee anasema wanamichezo corona inawakwepa wakati Dybala kaumwa corona mara 4, matuidi ina maana hawa hawafanyi mazoezi au sio wanamichezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pandikizi toka wapi?Usipojiongeza shauri yako; jamaa ni pandikizi...kuna wengine kule Urusi waliambiwa wakashupaza shingo kama wewe leo hapa Tanzania.
sijadili hotuba maana sikuisikiliza, najadili post za watu, not hotuba per se!Mbona unajadili?
Umeenda chaka kidogo lakini kwa sehemu kubwa uko sahihi. Ndani ya Ikulu pale Magogoni kuna makazi ya Rais aliye madarakani na familia yake kama anayo. Pia kuna ofisi ya Rais ya kwake kama mtumishi wa Serikali na ofisi ya Rais kama taasisi ambazo zinatumiwa na watumishi wengine wa taasisi hiyo ikiwemo ofisi ya Makamu, Katibu Mkuu na wengine wengi. Pamoja na makazi ya Rais kuwepo ndanj ya Ikulu, Rais kwa uamuzi wake mwenyewe anaweza kuishi popote nchini, inaweza kuwa Msasani (Nyerere) au karibu na Agha Khan Hospital (Mkapa) au Chato (Magufuli). Makazi haya si Ikulu bali ni nyumbani kwa marais hawa na wataendelea kuishi humo wakistaafu. Zile Ikulu ndogo za mikoani zinatumika kama nyumba za kuishi Rais akiwa safarini huko. Kwa taratibu zetu zilizopo, ofisi za Rais zipo Ikulu Magogoni, Dar mpaka zitakapohama rasmi kwenda Chamwino, Dodoma na kuacha nyumba ya Magogoni kwa matumizi mengine. Kenya wao Ikulu ni makazi ya Rais tu, ofisi zake zikiwa kwingineko mtaani ili hata wanyonge wazifikie kwa urahisi kumwona mpendwa wao waliomchagua wenyewe.Mkuu pascall Mayalla, samahani naomba nikirekebishe kidogo kwenye kichwa cha hii habari yako! Rais yuko kwenye mapumziko yasiyo rasmi kijijini kwake Mlimani Chato kutokana na hili janga la Corona, kama sijakosea. Hivyo ile siyo Ikulu Ndogo ya Chato. Kule ni nyumbani kwake alikotokea yeye kama yeye.
Ninachojua kwa hii elimu yangu ya UPE, Ikulu ndogo kwa ajili ya Rais huwa ni yale Makazi rasmi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa nchini kote! Tangu tupate Uhuru, wengi tulishuhudia Rais wa nchi awapo ziarani Mikoani au Wilayani, basi aliweza kufikia na kulala katika makazi hayo.
Ikulu rasmi kwa sasa na kwa mtazamo wangu, ni ile ya Magogoni kule Dsm na ile mpya ya Chamwino Dodoma. Au na mimi nimeenda chaka! 🤔
Unaweza kujuaje haviko contaminated na haupo maabara? Uraisi ni taasisi lakini kwa regime hii sio taasisi ni MTU! Na sehemu nyingi maraisi wanakuwa watu si taasisi, kama the then Germany under nasisim, Kamuzu banda wa malawi, USSR etc, Labda hujagundua!"Nimaamini hata fenesi, embe, ugali nk vikiwa exposed kwa corona virus vitakuwa contaminated, sijaelewa Mwalimu wa chemistry hajui hilo au anafanya maksudi kwa mambumbumbu!"
Japo umesema wewe msomaji ila kupitia hiki kitu wewe husomi mkuu
Kaelezea yote hayo hebu fuatilia usipende kusikia habari toka kwa kina kigogo mkuu,,,,
Mapapai,fenesi nk kasema sample walizochukua hazikuwa exposed na virus,halafu wewe nae hata bila kufikiri tu usiwe unaona mtu kuitwa Rais ni jambo dogo, to Rais ni taasisi hawez akaongea kama unavyotaka kutuaminisha hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Retired, big names make news!, Rais wa nchi ndio the biggest name in the country, ukisikia anafanya jambo lolote live on national TV, this is big news!.Of what benefit? Is this news worth paying attention to? What is strange with kuapisha? Of what exceptional leadership value Mwigulu is to arouse people's attention?
Ndio maana tunasema hakuna mwandishi wa habari and I do not have a good term to describe you so-called waandishi wa habari.
Mwandishi wa habari unasema Ikulu ya Chato? Does Ikulu ya Chato exist? This is a clear indication we run short of waandishi wa habari! Nisamehe Pascal kama hutapenda..
Jamaa ni either haelewi asemalo au anajifanya anajua wakati hajui kituhawa ni baadhi ya high profile players kupata corona
Footballers with coronavirus: Full list of players who have tested positive for COVID-19
Here, Express Sport has rounded up a list of players who have contracted the coronavirus.
Daniele Rugani, Juventus
Blaise Matuidi, Juventus
Paulo Dybala, Juventus
Manolo Gabbiadini, Sampdoria
Omar Colley, Sampdoria
Albin Ekdal, Sampdoria
Antonio La Gumina, Sampdoria
Morten Thorsby, Sampdoria
Premier League suspended: What happens if season doesn't finish? Three possible options
Fabio Depaoli, Sampdoria
German Pezzella, Fiorentina
Patrick Cutrone, Fiorentina
Dusan Vlahovic, Fiorentina
Mattia Zaccagni, Verona
Callum Hudson-Odoi, Chelsea
Luca Kilian, Paderborn
Timo Hubers, Hannover
Players Together for NHS: Full list of footballers supporting NHS Charities Together
Jannes Horn, Hannover
Hyun-Jun Suk, Troyes
Ezequiel Garay, Valencia
Eliaquim Mangala, Valencia
Marouane Fellaini, Shandong Luneng
James Bolton, Portsmouth
Andy Cannon, Portsmouth
Sean Raggett, Portsmouth
Haji Mnoga, Portsmouth
Footballers with coronavirus: Full list of players who have tested positive for COVID-19
Post za watu zinajadili hotuba hapa hatujadili karantini ya kisanii ya chademasijadili hotuba maana sikuisikiliza, najadili post za watu, not hotuba per se!
Inaelekea una hoja sijakuelewa. Rais yupi alipandikizwa? Yelsin? ???? (spelling)Yule Rais wa Russia iliyosemekana amepandikizwa na nchi zingine ili Urusi uvurugike na ikavurugika alianza namna hii. Tusipochukua hatua mapema tutajikuta pabaya; jamaa ni pandikizi kabisa.
Msomaji mzuri, Korona wanaweza kuwa ndani ya Papai na ndani ya Fenesi pia? Au sikumsikia Rais vizuri😂😂😂Mkuu nilichofurahi ni kujua kumbe Hata raisi unaweza kuwa hana taarifa za kutosha za mambo mengi tuu!
Wataalamu kwa sisi wapenda kusoma na watafiti wametuambia corona virus wanaweza kuwa kwenye: kiti cha daladala, kitasa cha mlango, nguo tunazovaa, sakafu, kwenye viatu, kwenye wanyama tunaofuga provided vitu vimekuwa exposed kwa corona virus.
Nimaamini hata fenesi, embe, ugali nk vikiwa exposed kwa corona virus vitakuwa contaminated, sijaelewa Mwalimu wa chemistry hajui hilo au anafanya maksudi kwa mambumbumbu!
Najua mtukufu sio msomaji kama wewe na Mimi, naweza tambua hili mosi, uwasilishaji hoja, mbili, ubishani ahindanishi, tatu kushindwa kuconnect maada, unfortunately here in Tanzania we have leaders who aren't readers, sio kama mataifa mengine, leaders are knowledgeable! Here leaders are dumps!!
You would be surprised
Meko kanikumbusha yule spokesperson wa Iraq wakati US ilipovamia Iraq. Alikuwa akiitwa Tariq Aziz nadhani.
Marekani anawaua wairaq lakini Tariq anasema "tumewashinda wamarekani, hawatuwezi hata kidogo".
Duh, wakati rais Magufuli akihutubia nikamsikia akikohoa kidogo!.
P
Asante kwa usahihisho, jina la utani aliitwaje?Mohammed Al Sahhaf [emoji106]
Sent from my iPhone using Tapatalk