Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #321
Video iko fulu fulu kule mwanzo!.Really!!
Video pls
Hapo ndipo nilipolenga!ila kitu cha kweli ni kuwa waandishi wetu sio Tanzania sio wazuri saana kivile kama waandishi wa wenzetu.
Duh...!.Pia usisahau Pasco mayalla Ni msukuma
Ova.
P.Wanabodi
Kwa wale wenye nafasi, ifika saa 4:15 asubuhi hii, tujiunge na TBC kuangalia matangazo ya moja kwa moja ya live mubashara kutokea ikulu ya Chato.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Tweet ya Gerson Msigwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Mei, 2020 atamuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Tukio hilo litarushwa moja kwa moja na vyombo vya habari kutoka Chato Mkoani Geita, kuanzia saa 4:15 asubuhi. Gerson Msigwa on Twitter
Karibuni mshuhudie
Pia leo ni siku ya kimataifa ya kuadhimisha siku ya uhuru wa habari, huku Tanzania tukiwa kwenye hii vita ya kimataifa ya kupambana na janga la Corona, serikali ya Tanzania ikishutumiwa kuficha idadi ya kweli ya vifo vya Corona, hivyo tufuatilie kwa makini tukimsikiliza rais Magufuli atazungumza nini.
P
BAADHI YA NUKUU:
Rais Magufuli: Miaka ya nyuma ulikuwa ukienda kutembela sehemu ukaambiwa kuna Surua unaogopa. Leo ugonjwa huo umeonekana wa kawaida na hofu imeondoka. Ni hivyo kwa magonjwa mengi ambayo tumekuwa tukiyaona kama nchi kama TB na Ukoma. Hofu hiyo imeondoka hata kwa Ebola
Rais Magufuli: Niwaombe watanzania hili tatizo (#COVID19) litaondoka na tuendelee kuchukua tahadhari zinazotakiwa tusihusishe na uchumi wa nchi yetu.
Nchini waajiriwa zaidi ya 49% ni walimu ila tumelipa mishahara shule zikiwa zimefungwa na tutaendelea kulipa.
Rais Magufuli: Waziri Mwigulu nimekuapisha leo, itabidi mkafanye uchunguzi kwenye masuala fulani ktk maabara ya Kitaifa inayohusika kupima #Corona
Nimeona walikuwa wanatoa tu matokeo watu wameathirika tu. Nilitoa maelekezo kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakaangalie.
Rais Magufuli: Namshukuru Katibu Mkuu mpya, wameenda na kufanya yafuatayo; Tulichukua sampuli ya Mbuzi, Kondoo, Papai, Oil ya gari na kupeleka maabara bila wao kujua
Sampuli ya oil kwa mfano tuliipa jina la Jabri Hamza mwenye miaka 30, ile ilileta “negative”
Rais Magufuli: Sampuli ya Fenesi iliyopewa jina la Sara Samweli matokeo yake yalikuwa 'inconclusive'
Sampuli ya Papai tukaipa jina ya Elizabeth Anne, majibu yakawa Positive kwamba lina Corona kwamba maji ya ndani ya papai yana #COVID19
Rais Magufuli: Sampuli ya ndege Kware imekuwa ‘positive’, ya Sungura ikawa ‘indeterminate', ya Mbuzi ikawa ‘positive’, ya Kondoo ikawa ‘negative’
Sasa ukiona ya binadamu ikawa positive maana yake na mapapai yote yaweke isolation au mbuzi na fenesi wote wawe isolated.
Rais Magufuli: Ukigundua kitu hiki lazima ujue kuna mchezo wa ajabu unafanyika katika maabara hii na katika nchi hii.
Ama wahusika wa maabara wamenunuliwa na mabeberu, au hawana utaalamu; kitu ambacho si kweli au vifaa maana hadi vipamba vinatoka nje.
Rais Magufuli: Kama hadi mapapai yana #CoronaVirus basi WHO inatakiwa ifanye kazi kubwa ktk haya, na kama hadi Mbuzi wana Corona basi wanasayansi hawajafanya kazi ya kutosha
Kutokana na hizi taarifa lazima kuna watu wameambiwa ‘positive’ wakati si wagonjwa wa #COVID19
Rais Magufuli: Kuna wengine si ajabu wakafa kwa hofu. Papai halijafa lipo tu linaiva, Mbuzi yule yupo tu wala hajafa hata fenesi lipo
Natoa wito kwa Watanzania msiwe na hofu. Wale ambao hawajachoka wala kuumia kwanini uwe na hofu? Mafua yamekuwepo ila haya ni advanced.
Rais Magufuli: Kitendo cha kukuta hata papai lina #COVID19 mule ndani wala sio juu, kwasababu ingekuwa juu wangesema labda aliyegusa ana #CoronaVirus. Wametoa specification vizuri kabisa, walichoma ndani wanachukua sampuli. Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?
Rais Magufuli: Kuna vitu vingi vya kujiuliza, huenda kuna kitu hakijaeleweka kwa wanasayansi lakini hata dunia hawajakielewa
Natoa wito kwa wanaotumia vifaa hivi hasa Afrika, wachukue sampuli ya kitu chochote hata ukuta, mjusi watakuja kuthibitisha haya.
Rais Magufuli: Tuendelee kuchapa kazi, uzalishaji uendelee maradufu, tusitishane. Wanasiasa waache kuitumia #COVID19 kama agenda, haitasaidia
Mtu anasema funga Dar, funga Tanga, sifungi nilishasema. Ni lazima Watanzania tuchape kazi na kuendelea kuchukua tahadhari.
Magufuli: Inawezekana fenesi, papai lingekuwa linasikia kuwa lina #COVID19 lingekuwa limeshaoza kabisa. Lakini kwa vile halisikii, lina #CoronaVirus na bado lipo
Sasa wewe kama Waziri (Nchemba) mkashirikiane na Wizara ya Afya mkaangalie hiyo Maabara ya Taifa kuna nini?
Rais Magufuli: Mbeleni ninafikiria hata kuruhusu ligi iendelee ili watu wawe wanacheza tukiangalia kwa TV. Tuweke utaratibu mzuri.
Ninaelewa hata walioathirika na #COVID19 sijaona mwanamichezo aliyedhurika sana. Hii ni wazi kuwa wanaofanya michezo #Corona inawakwepa.
Rais Magufuli: Kama tunazuia hata kucheza mpira maana yake tunawaambia wapate #Corona. Najaribu kusubiri wataalamu wanishauri vizuri
Inawezekana tunaishi na huu ugonjwa kama watu wenye UKIMWI, TB, Surua na maisha yakaendelea. Tuache kuogopana na kutishana.
Rais Magufuli: Ninajua wapo wengine wangependa kuzungumza kuhusu #Corona. Naona na vyombo vingine vya habari wao ni corona tu, tena vya nje na huko vinapotangazia ndio imeua watu wengi
Lazima mjiulize kwanini havizungumzii ya kwao wanaongelea ya #Tanzania?
Rais Magufuli: Natoa wito kwa hasa vijana ambao kila siku wakimuona mtu amekufa ni #COVID19
Jaji Mkuu (Augustino Ramadhani) tumehangaika naye hapa kwa mwaka mzima, si vizuri kutaja matatizo yake. Baba yangu kafariki kwa saratani kama Jaji Mkuu ila watu wamebadili maneno ya ajabu.
Rais Magufuli: Si kila anayekufa ni #Corona. Malaria inaua, ajali inaua. Juzi Mkuranga wamekufa watu 21 kwa ajali, roho zao Mungu azipumzishe kwa amani
Siku hizi mtu hata akijifia chumbani kwake wanapoenda kuchukua ile maiti ni Corona. Ninawaomba Watanzania tubadilike
Sio chato tu kila mkoa una ikulu, hata wilaya piaHivi kumbe Chato kuna Ikulu? Nimeuliza Kuna Ikulu??
Tuanzie labda hujui maana ya corona? Naona kuna kitu huelewi, je kwanini unanawa? Corona I apatikana kwa corona contamination Au unafikili mikono yako inazalisha virus vya corona!Msomaji mzuri, Korona wanaweza kuwa ndani ya Papai na ndani ya Fenesi pia? Au sikumsikia Rais vizuri😂😂😂
Mkuu Yuda-Tadei Edesi Shayo,
Kumbe we ni mjinga hivi.?sijadili hotuba maana sikuisikiliza, najadili post za watu, not hotuba per se!
Asante mkuiMkuu Yuda-Tadei Edesi Shayo,
Tiba rasmi inaitwa Clinical or hospital treatment.
Tiba Asili inaitwa Natural Therapies
Tiba Mbadala ni Alternative Medicine.
P
Asante kwa usahihisho, jina la utani aliitwaje?
"Nimaamini hata fenesi, embe, ugali nk vikiwa exposed kwa corona virus vitakuwa contaminated, sijaelewa Mwalimu wa chemistry hajui hilo au anafanya maksudi kwa mambumbumbu!"
Japo umesema wewe msomaji ila kupitia hiki kitu wewe husomi mkuu
Kaelezea yote hayo hebu fuatilia usipende kusikia habari toka kwa kina kigogo mkuu,,,,
Mapapai,fenesi nk kasema sample walizochukua hazikuwa exposed na virus,halafu wewe nae hata bila kufikiri tu usiwe unaona mtu kuitwa Rais ni jambo dogo, to Rais ni taasisi hawez akaongea kama unavyotaka kutuaminisha hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuulize Wewe unaaminije kwamba ni kweli wamepeleka mapapai, Mbuzi na Mafenesi ???Msomaji mzuri, Korona wanaweza kuwa ndani ya Papai na ndani ya Fenesi pia? Au sikumsikia Rais vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]thanx boss, Comical Ali!!Baghdad Bob au Comical Ali
I was there at that time nakumbuka sana maneno (quotes) zake zilikuwa zinachekesha kwa Kweli
Alisema mengi ila zile za kwanza kwanza ndio nilizisikiliza
Alisema hata maili 100 kufikia Baghdad hawapo, wakati ukweli majeshi ya dunia yalikuwa tayari yamo ndani
Nyingine alisema majeshi ya USA wana commit suicide wenyewe kwenye kuta za Baghdad
He was so funny [emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwanza tageti ya Korona ni MAPAFU si vinginevyo, anamuingia binadamu kupitia kinywa, pua na macho pale atakapo JISHIKA na mikono iliyobeba virusi. Sasa tunda lililopasuliwa na kuchukuliwa sampuli amepenyeje huko.Tuanzie labda hujui maana ya corona? Naona kuna kitu huelewi, je kwanini unanawa? Corona I apatikana kwa corona contamination Au unafikili mikono yako inazalisha virus vya corona!
Milango, vitasa, paka wanakuwa na corona kutoka wapi? Unahisi wanazalisha virus?
Sasa wizara ya katiba na sheria kuhusishwa na corona naona ni mtego Mwigulu amewekewa.Waziri mteule wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba ataapishwa leo saa 4:15 katika Ikulu ndogo ya Chato.
Tukio zima litaongozwa na Rais Magufuli.
Up dates;
Mwigulu amepewa majukumu ya kupambana na Corona kisheria
Source Clouds tv
Acha ujinga J's hotel.Hoteli ya Magufuli ndo imekua Ikulu. Ndo wonder ulisoma degree ya law kwa miaka 20Wanabodi,
Kwa wale wenye nafasi, ifika saa 4:15 asubuhi hii, tujiunge na TBC kuangalia matangazo ya moja kwa moja ya live mubashara kutokea ikulu ya Chato.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Tweet ya Gerson Msigwa.
Pia leo ni siku ya kimataifa ya kuadhimisha siku ya uhuru wa habari, huku Tanzania tukiwa kwenye hii vita ya kimataifa ya kupambana na janga la Corona, serikali ya Tanzania ikishutumiwa kuficha idadi ya kweli ya vifo vya Corona, hivyo tufuatilie kwa makini tukimsikiliza rais Magufuli atazungumza nini.
P
==========
BAADHI YA NUKUU:
Rais Magufuli: Miaka ya nyuma ulikuwa ukienda kutembela sehemu ukaambiwa kuna Surua unaogopa. Leo ugonjwa huo umeonekana wa kawaida na hofu imeondoka. Ni hivyo kwa magonjwa mengi ambayo tumekuwa tukiyaona kama nchi kama TB na Ukoma. Hofu hiyo imeondoka hata kwa Ebola
Rais Magufuli: Niwaombe watanzania hili tatizo (#COVID19) litaondoka na tuendelee kuchukua tahadhari zinazotakiwa tusihusishe na uchumi wa nchi yetu.
Nchini waajiriwa zaidi ya 49% ni walimu ila tumelipa mishahara shule zikiwa zimefungwa na tutaendelea kulipa.
Rais Magufuli: Waziri Mwigulu nimekuapisha leo, itabidi mkafanye uchunguzi kwenye masuala fulani ktk maabara ya Kitaifa inayohusika kupima #Corona
Nimeona walikuwa wanatoa tu matokeo watu wameathirika tu. Nilitoa maelekezo kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakaangalie.
Rais Magufuli: Namshukuru Katibu Mkuu mpya, wameenda na kufanya yafuatayo; Tulichukua sampuli ya Mbuzi, Kondoo, Papai, Oil ya gari na kupeleka maabara bila wao kujua
Sampuli ya oil kwa mfano tuliipa jina la Jabri Hamza mwenye miaka 30, ile ilileta “negative”
Rais Magufuli: Sampuli ya Fenesi iliyopewa jina la Sara Samweli matokeo yake yalikuwa 'inconclusive'
Sampuli ya Papai tukaipa jina ya Elizabeth Anne, majibu yakawa Positive kwamba lina Corona kwamba maji ya ndani ya papai yana #COVID19
Rais Magufuli: Sampuli ya ndege Kware imekuwa ‘positive’, ya Sungura ikawa ‘indeterminate', ya Mbuzi ikawa ‘positive’, ya Kondoo ikawa ‘negative’
Sasa ukiona ya binadamu ikawa positive maana yake na mapapai yote yaweke isolation au mbuzi na fenesi wote wawe isolated.
Rais Magufuli: Ukigundua kitu hiki lazima ujue kuna mchezo wa ajabu unafanyika katika maabara hii na katika nchi hii.
Ama wahusika wa maabara wamenunuliwa na mabeberu, au hawana utaalamu; kitu ambacho si kweli au vifaa maana hadi vipamba vinatoka nje.
Rais Magufuli: Kama hadi mapapai yana #CoronaVirus basi WHO inatakiwa ifanye kazi kubwa ktk haya, na kama hadi Mbuzi wana Corona basi wanasayansi hawajafanya kazi ya kutosha
Kutokana na hizi taarifa lazima kuna watu wameambiwa ‘positive’ wakati si wagonjwa wa #COVID19
Rais Magufuli: Kuna wengine si ajabu wakafa kwa hofu. Papai halijafa lipo tu linaiva, Mbuzi yule yupo tu wala hajafa hata fenesi lipo
Natoa wito kwa Watanzania msiwe na hofu. Wale ambao hawajachoka wala kuumia kwanini uwe na hofu? Mafua yamekuwepo ila haya ni advanced.
Rais Magufuli: Kitendo cha kukuta hata papai lina #COVID19 mule ndani wala sio juu, kwasababu ingekuwa juu wangesema labda aliyegusa ana #CoronaVirus. Wametoa specification vizuri kabisa, walichoma ndani wanachukua sampuli. Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?
Rais Magufuli: Kuna vitu vingi vya kujiuliza, huenda kuna kitu hakijaeleweka kwa wanasayansi lakini hata dunia hawajakielewa
Natoa wito kwa wanaotumia vifaa hivi hasa Afrika, wachukue sampuli ya kitu chochote hata ukuta, mjusi watakuja kuthibitisha haya.
Rais Magufuli: Tuendelee kuchapa kazi, uzalishaji uendelee maradufu, tusitishane. Wanasiasa waache kuitumia #COVID19 kama agenda, haitasaidia
Mtu anasema funga Dar, funga Tanga, sifungi nilishasema. Ni lazima Watanzania tuchape kazi na kuendelea kuchukua tahadhari.
Magufuli: Inawezekana fenesi, papai lingekuwa linasikia kuwa lina #COVID19 lingekuwa limeshaoza kabisa. Lakini kwa vile halisikii, lina #CoronaVirus na bado lipo
Sasa wewe kama Waziri (Nchemba) mkashirikiane na Wizara ya Afya mkaangalie hiyo Maabara ya Taifa kuna nini?
Rais Magufuli: Mbeleni ninafikiria hata kuruhusu ligi iendelee ili watu wawe wanacheza tukiangalia kwa TV. Tuweke utaratibu mzuri.
Ninaelewa hata walioathirika na #COVID19 sijaona mwanamichezo aliyedhurika sana. Hii ni wazi kuwa wanaofanya michezo #Corona inawakwepa.
Rais Magufuli: Kama tunazuia hata kucheza mpira maana yake tunawaambia wapate #Corona. Najaribu kusubiri wataalamu wanishauri vizuri
Inawezekana tunaishi na huu ugonjwa kama watu wenye UKIMWI, TB, Surua na maisha yakaendelea. Tuache kuogopana na kutishana.
Rais Magufuli: Ninajua wapo wengine wangependa kuzungumza kuhusu #Corona. Naona na vyombo vingine vya habari wao ni corona tu, tena vya nje na huko vinapotangazia ndio imeua watu wengi
Lazima mjiulize kwanini havizungumzii ya kwao wanaongelea ya #Tanzania?
Rais Magufuli: Natoa wito kwa hasa vijana ambao kila siku wakimuona mtu amekufa ni #COVID19
Jaji Mkuu (Augustino Ramadhani) tumehangaika naye hapa kwa mwaka mzima, si vizuri kutaja matatizo yake. Baba yangu kafariki kwa saratani kama Jaji Mkuu ila watu wamebadili maneno ya ajabu.
Rais Magufuli: Si kila anayekufa ni #Corona. Malaria inaua, ajali inaua. Juzi Mkuranga wamekufa watu 21 kwa ajali, roho zao Mungu azipumzishe kwa amani
Siku hizi mtu hata akijifia chumbani kwake wanapoenda kuchukua ile maiti ni Corona. Ninawaomba Watanzania tubadilike.
Rais Magufuli: Nawapongeza madaktari, manesi na watendaji wa Wizara ya Afya kwa kuendelea kuhudumia Watanzania ktk kipindi hiki.
Kuna mengi ya kushangaza nchini. RC wa Mtwara nikamsikia kwenye vyombo vya habari eti "DC huyu hawezi kusafirishwa kwenda kwao", inasikitisha.
Rais Magufuli: Kama madaktari wanaenda kuwaona wagonjwa wakiwa na PPE. Walishindwaje viongozi wa Mkoa wa Mtwara chini ya RC kuifunga maiti PPE na kuipeleka Moshi?
Niwaombe viongozi wenzangu tusichukue hili kwa papara, tuwatumie wataalam kupata ushauri utakaosaidia.
Rais Magufuli: Ninaamini #CoronaVirus ipo ila si kwa 'extent' hiyo. Katika siku 2-3 zilizopita tulikuwa na watu 16 waliofariki kwa #COVID19
Sasa tafuta uwiano wa watu 16 na idadi ya watu karibu mil. 60 na uwiano wa nchi nyingine na idadi yao ya waliokufa halafu utaona.
Rais Magufuli: Tunawatisha Watanzania wanaogopa hata kwenda kufanya kazi au sokoni
Nilisoma kwenye WhatsApp mtu anasema “funga masoko”. Nikajiuliza huyu ana akili za kawaida? Hapo alipo hana shamba wakifunga masoko atapata wapi chakula? Tena yupo Dar, ni “shortsighted”
Rais Magufuli: Ukizuia soko la Kariakoo, watu milioni 6 wa Dar watakula wapi? Wabaya wetu wanataka tuingie kwenye ujinga huo.
Nchi zilizofunga mnaona matokeo yake. Sitaki kuzitaja ila kuna nchi watu wamekufa zaidi ya elfu 50 na zina uwezo wa kila kitu.
Rais Magufuli: Tuchukue tahadhari na kuwapuuza wanaojaribu kututisha, hawana maana. Tuendelee kumuomba Mungu.
Kuna Viongozi wengine wa dini wamemsahau Mungu, wameanza kuyumba na wameanza kuweka ubinadamu mbele. Wanasema tuache kuomba ili tujiokoe. Ni mambo ya ajabu!
Rais Magufuli: Hali si mbaya kama tunavyotishwa, sisi tupo vizuri na biashara zinaendelea ndio maana hata tunaweza kulipa mishahara.
Hata hao wanaosema tufunge huku anaendeshwa na gari limeandikwa STK, mafuta anawekewa na Serikali, amesahau alichokalia ndicho kinamlisha.
Rais Magufuli: Ninawasiliana na Madagascar na wameandika barua wanasema kuna dawa imepatikana. Tutatuma ndege ili ziweze kuletwa nchini.
Serikali tunafanya kazi usiku na mchana. Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa sitakiwi kuwa huku? Huku si ndiko nitazikwa?
Rais Magufuli: Tunatakiwa kusimama pamoja. Nampongeza Mbatia (James) ni mwanasiasa mzuri. Wakati wa vita ni vita wote tushikamane twende mbele
Mpaka ananiandika SMS " Uwe na moyo mkuu, tuendelee kuchapa kazi". Ni wa Upinzani ila ni muelewa unajua yupo kwa ajili ya nchi.
Rais Magufuli: Kuna mwingine anazungumzia Dar wala hayupo Bungeni "Leo tumeahirisha kwenda Bungeni". ACHA!
Nimetoa maelekezo hakuna kuwalipa posho. Utalipwaje wakati huifanyii kazi? Usipoenda watakulipa hao mababeru wanaokutumia kuzungumza hayo unayotaka kuzungumza.
Na ana njaa kupita kiasi alikuwa mwenzetu lakini toka astaafu anajaribu kila njia kupata uteuzi lakini anapigwa chenga ingawa hii nafasi ingemfaa sana maana angeteuliwa kuwa mbunge kwanza halafu uwaziri kurudisha nyumbani.Kumbuka kunawa mikono na sabuni
Kuvaa barakoa
Pia usisahau Pasco mayalla Ni msukuma
Ova.
Sent using Jamii Forums mobile app