Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Ulishafiwa na nani ndugu yako,jirani,au rafiki kwa Corona?huko mitaani na makazini umekutana na kifo hata kimoja?au mpo mpo tu
Sasa kuapishana sasa hivi si ni hatari ? Huyu mbunge ametembea sehemu ngapi na amekutana na wangapi na tunajuaje kama jana tu au sekunde nne kutokea sasa hajakutana na mwenye huu ugonjwa ?

Nadhani hatuchukulii hili janga userious unaotakiwa...

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Hongera Nyaisonga, kwa kukikalia kiti chako sawasawa uchungaji wako tokea ngazi ya upadre hadi hapo ulipo haina viulizo vingi. kweli hekima ya kiongozi utaiona wakati Wa matatizo au vita, corona hii ikitokomea itatuachia funzo kubwa kwamba wachungaji wengine walikuwa so hasa. mambo yakienda kombo mnawatelekeza wanakondoo wakidhani wanawapenda, Mh. Bagonza upo!!! Baba Severine; upo. Mstali wako Wa kukumbuka wakati Wa upadilisho wako ulisema " umetumwa kuganga waliovunjika moyo" sasa ukishasimamisha Ibada na matendo yote ibada umeganga mioyo iyovunjika au ndo kuisambalatisha. Umefeli Rev.
Sina mamraka hayo lakini pamoja na kutokuwa nayo Mh. John Pombe Magufuli nakuongezea cheo cha kuwa Reverend. Umeinua mioyo iliyokata tamaa.
REV DR.JOHN POMBE MAGUFULI.MH. Rais Wa Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania.
 
Chadema wana mapepo...... by askofu Gwajima!
Unaona unafiki wa hawa mods, huu uzi kuuleta huku??
Kweli nilichokieleza mimi kina mahusiano yoyote na huu Uzi wa mkuu Pascal??
Au kwasababu nimewasema JF ndio wakaona wauleta huku huu uzi ili wapoteze lengo watutoe kwenye reli??

Hiki ni kisima cha unafiki.
Kwahiyo waliopimwa na kukutwa negative na wale waliopona na wakaruhusiwa kurudi nyumbani tuwe na mashaka nao pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema wana mapepo...... by askofu Gwajima!
Hapo lazima serikali imeilipa familia ya Magufuli. 😂😂😂
 
Ulishafiwa na nani ndugu yako,jirani,au rafiki kwa Corona?huko mitaani na makazini umekutana na kifo hata kimoja?au mpo mpo tu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Kwahio niendelee kukiuka ushauri wa watu wa afya mpaka pale nitakapofiwa ? Hata kama mimi sijafiwa waliofiwa hawahesabiki ?, Kwahio tunangoja nini na kupoteza muda kwanini kila kitu kisirudi kama zamani ?, Ila kumbuka kurudi huko kama zamani kutaongeza hatari kwa wale ndugu na jamaa ambao immunity yao ni ndogo..., ila kupanga ni kuchagua...
 
Namuunga mkono Mh. Raisi kwa aailimia Mia moja. Watu wanataka nchi ifungwe ili tuishije? Binafsi jana nilikua mkoani Arusha nilipeleka mama mjamzito hospital huduma zote ni bureee, Hadi ultra sound ni bure kabisa pamoja na hili janga la covid 19 kuwepo. Mnadhani nchi ukifungwa hizi huduma zitapatikanaje? Mheshimiwa Raisi tunakuunga mkono tupo nyuma yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

very logical! Simple language to understand!
 

👍 Wewe ndo ulie ielewa hii habari.Labda Maabara zetu na sisi zina vifaa kama vya India kutoka china,? hebu tupitie hii habari.
India finds some Chinese coronavirus testing kits are only FIVE PER CENT accurate and scraps order for half a million of them - including Wondfo brand already rejected by Britain

India has scrapped an order for half a million coronavirus testing kits from China after they were allegedly found to have just a five per cent accuracy rate.

Some of the 'faulty' kits were already in use in several states but have now been withdrawn by the country's government.

The rapid testing kits take around 30 minutes to return a result and are intended to detect antibodies in people who may have already had coronavirus.

They were reportedly produced by Chinese firms Guangzhou Wondfo Biotech and Zhuhai Livzon Diagnostics, according to Indian news outlet NDTV.


Wondfo Biotech is also the producer of an antibody test which was recently rejected by the British Government for not having a high enough accuracy rate.

Officials in a number of Indian states reported an accuracy rate of just 5.4 per cent for the tests and found they were returning negative results for people who they knew had had the virus.

It is unclear from reports which of the two tests was shown to have such a low accuracy rate.
China has disputed India's claims about the quality of the tests.

Chinese embassy spokesman Ji Rong told the BBC on Tuesday: 'The quality of medical products exported from China is prioritised.

'It is unfair and irresponsible for certain individuals to label Chinese products as "faulty" and look at issues with pre-emptive prejudice.'

However, the BBC said the kits had also failed checks done by the Indian Medical Research Council (ICMR).

The tests were imported after several Indian states pushed the ICMR to allow them because of concerns that not enough people were being tested.

Rejea page hii kwa kumbu kumbu.
India finds Chinese coronavirus testing kits only 5% accurate
 
Sasa kuapishana sasa hivi si ni hatari ? Huyu mbunge ametembea sehemu ngapi na amekutana na wangapi na tunajuaje kama jana tu au sekunde nne kutokea sasa hajakutana na mwenye huu ugonjwa ?

Nadhani hatuchukulii hili janga userious unaotakiwa...
Mwigulu alikuwa Dodoma ambako kuna watu wametest positive au kufa kwa Corona. Sasa sijui kuna uhakika gani huu jamaa hajavibeba virus kuvipeleka Chato....!?
 
Rev meko mwenyewe haendi church .. kazi yake kuongea na kupiga vijembe.

Leo hajakaribiana kabisa na mwapishwa mwigulu, amemkwepa utadhani amesha pewa taarifa mwigulu amekwaa corona.

Kama yeye ana Mungu mwambie atoke chato aje dom au dar apambane mbona wengine wanapambana vizuri tuu.

Hatuja wahi kuwa na kiongozi anaye toa kafara raia wake kama huyu.
 
Na hawatokuja kuipitisha

Dawa za Afrika haziwezi kupitishwa kwa sababu hiyo ni biashara ya mataifa makubwa tu. Wewe kinyago huna mamlaka ya kuuza dawa ambayo itakuwa maarufu.
 
Mkuu nisaidie wewe uliye elewa,hiyo national lab inamilikiwa na beberu gani ?
Kwamba tunaimiliki wenyewe siyo sababu ya kuamini matokeo yake yote hata ambayo hayaingii akilini! Papai kuwa na corona kwa ndani wapi na wapi?
 
Mimi ninaishi karibu sana na kainsa la "Walokole". Wakati wa mahubiri ya leo asubuhi mchungaji alisisitiza kwa suti ya juu kwa waumini wake kuwa: "Hakuna kinga nyingine ya Corona bali ni Yesu pekee. Kinga kama maji tiririka ya dawa, barakoa, na kutokuja kanisani kukwepa msongamano ni bure. Hata ukijificha nyumbani kama humuombi Mungu corona itakufuata humohumo. Msiogope. Njooni kanisani kwa wingi tumuombe Yesu ndiye atakaeyeyusha Corona." Kwa hali hii naona nchi yetu itakuwa "base" ya maambukizi ya Corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…