Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Sasa kuapishana sasa hivi si ni hatari ? Huyu mbunge ametembea sehemu ngapi na amekutana na wangapi na tunajuaje kama jana tu au sekunde nne kutokea sasa hajakutana na mwenye huu ugonjwa ?

Nadhani hatuchukulii hili janga userious unaotakiwa...
Hii point Kali sana, bonge la observation
 
Hivi leo ameenda kanisani?
 
Sasa kuapishana sasa hivi si ni hatari ? Huyu mbunge ametembea sehemu ngapi na amekutana na wangapi na tunajuaje kama jana tu au sekunde nne kutokea sasa hajakutana na mwenye huu ugonjwa ?

Nadhani hatuchukulii hili janga userious unaotakiwa...
Sema tu sasa ni kwamba apangalo Mungu ni ngumu mwanadamu kulipangua, atamtafuta sababu tu hadi ulipate, nani anajua huenda ni mpango wa Mungu ifike?
 
Wanabodi wale wenye nafasi
Karibuni mshuhudie

P

===

Mkuu pascall Mayalla, samahani naomba nikirekebishe kidogo kwenye kichwa cha hii habari yako! Rais yuko kwenye mapumziko yasiyo rasmi kijijini kwake Mlimani Chato kutokana na hili janga la Corona, kama sijakosea. Hivyo ile siyo Ikulu Ndogo ya Chato. Kule ni nyumbani kwake alikotokea yeye kama yeye.

Ninachojua kwa hii elimu yangu ya UPE, Ikulu ndogo kwa ajili ya Rais huwa ni yale Makazi rasmi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa nchini kote! Tangu tupate Uhuru, wengi tulishuhudia Rais wa nchi awapo ziarani Mikoani au Wilayani, basi aliweza kufikia na kulala katika makazi hayo.

Ikulu rasmi kwa sasa na kwa mtazamo wangu, ni ile ya Magogoni kule Dsm na ile mpya ya Chamwino Dodoma. Au na mimi nimeenda chaka! 🤔
 
Updates pls,every now and then...
 
Wewe umekutana na wangapi
Sasa kuapishana sasa hivi si ni hatari ? Huyu mbunge ametembea sehemu ngapi na amekutana na wangapi na tunajuaje kama jana tu au sekunde nne kutokea sasa hajakutana na mwenye huu ugonjwa ?

Nadhani hatuchukulii hili janga userious unaotakiwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Update
TBC ndio wameisha jiunga, saa hizi rais Magufuli anahutubia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…